Describe and explain anything about HIm/HEr

Taja mtu kwa kuandika @(jina) usiache nafasi kati ya @ na jina. Ukimaliza anza kutiririka sifa.

Naamini unajua kusifiwa maana ukinisifia vizuri na mimi nitakupenda tena zaidi yako.
Daby - sifa yako una roho nzuri maana wengine wangenicheka mtu wa miongo minne sijui ku-mention. Pili ni mcheshi na una maarifa mengi. Nikikusifia zaidi ya hapa utanipenda zaidi yangu kitu ambacho sitaki kitokee. Utaishia kuumia. Raha nikupende mimi. Shukrani zangu nitaku-PM kama nitakuwa nimefaulu mtihani. Ngoja sasa nibonye "send" nione kama imekubali.
 
Nimewezaaaaa........ mtankoma mbona? Asante sana. Mwaa... Sasa naanza..
Heaven Sent - nampenda huyu dada ana hekima na anaonekana kumjua Mungu.
 
Huyu bora anyamaze..Hachelewi kusema nina kibamia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hata ukiwa na kibamia sitakutangaza. Kwetu tumefundishwa kuwahudumia wote wenye vibamia na wenye mandingo. Uko salama kabisa.
 
Daby - sifa yako una roho nzuri maana wengine wangenicheka mtu wa miongo minne sijui ku-mention. Pili ni mcheshi na una maarifa mengi. Nikikusifia zaidi ya hapa utanipenda zaidi yangu kitu ambacho sitaki kitokee. Utaishia kuumia. Raha nikupende mimi. Shukrani zangu nitaku-PM kama nitakuwa nimefaulu mtihani. Ngoja sasa nibonye "send" nione kama imekubali.

[emoji4][emoji4][emoji4]
NANDERA
Kwanza ni malkia wa nguvu
Mrembo mwenye staha na mwonekano wa kumvuta mwanaume yeyote aliyekamilika.
Anaaibu fulani ya kike inayoita kwa sauti ya chini isiyo kwaruza.

Hehe haya hebu nipende nami nikupende tuone.
 
Ushaaniudhi. Utanidanganye kitoto hivyo. Huo urembo na mwonekano wangu uliuona wapi? Hivi unawajua wanawake wachaga wa asili ambao hawachanganyika na kabila lingine? Ndo maana nimeweka picha ya ua kwenye avatar. Lakini niko kwenye kozi ya kujikubali. Soon ukinisifia kuhusu muonekano nitatabasamu na kusema "inhii...asaante". Kama huwezi kunisifia sifa zingine tofauti na muonekano na sauti basi acha tusipendane tu. Mbona ma-HB mko wengi??
 
Hivi ulishawi kumpenda mtu kiasi cha kumchora kwenye mboni?
Ndicho kilichonitokea. Halafu kama ni mchaga mbona kazi imekwisha. Siunajua mwisho wa mwezi tuna namba nikutunishie mpesa
 
Back
Top Bottom