Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh..Haya banaMgawanyo wa majukumu tu. Ssa nitamvalisha na kumvua mimi kwa sheria zipi? Najua natakiwa kufanya vyote but not to that extent.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Haya banaMgawanyo wa majukumu tu. Ssa nitamvalisha na kumvua mimi kwa sheria zipi? Najua natakiwa kufanya vyote but not to that extent.
Daby - sifa yako una roho nzuri maana wengine wangenicheka mtu wa miongo minne sijui ku-mention. Pili ni mcheshi na una maarifa mengi. Nikikusifia zaidi ya hapa utanipenda zaidi yangu kitu ambacho sitaki kitokee. Utaishia kuumia. Raha nikupende mimi. Shukrani zangu nitaku-PM kama nitakuwa nimefaulu mtihani. Ngoja sasa nibonye "send" nione kama imekubali.Taja mtu kwa kuandika @(jina) usiache nafasi kati ya @ na jina. Ukimaliza anza kutiririka sifa.
Naamini unajua kusifiwa maana ukinisifia vizuri na mimi nitakupenda tena zaidi yako.
Haya mzee..Mfanye upendavyoSi tuliambiana tunagawana wakija 10 watano wangu watano wako.. huyu leo wangu
Nimewezaaaaa........ mtankoma mbona? Asante sana. Mwaa... Sasa naanza..Taja mtu kwa kuandika @(jina) usiache nafasi kati ya @ na jina. Ukimaliza anza kutiririka sifa.
Naamini unajua kusifiwa maana ukinisifia vizuri na mimi nitakupenda tena zaidi yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hata ukiwa na kibamia sitakutangaza. Kwetu tumefundishwa kuwahudumia wote wenye vibamia na wenye mandingo. Uko salama kabisa.Huyu bora anyamaze..Hachelewi kusema nina kibamia
Daby - sifa yako una roho nzuri maana wengine wangenicheka mtu wa miongo minne sijui ku-mention. Pili ni mcheshi na una maarifa mengi. Nikikusifia zaidi ya hapa utanipenda zaidi yangu kitu ambacho sitaki kitokee. Utaishia kuumia. Raha nikupende mimi. Shukrani zangu nitaku-PM kama nitakuwa nimefaulu mtihani. Ngoja sasa nibonye "send" nione kama imekubali.
Ahsante kwa faraja..Kweli walemavu hawatakiwi kutengwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hata ukiwa na kibamia sitakutangaza. Kwetu tumefundishwa kuwahudumia wote wenye vibamia na wenye mandingo. Uko salama kabisa.
Ushaaniudhi. Utanidanganye kitoto hivyo. Huo urembo na mwonekano wangu uliuona wapi? Hivi unawajua wanawake wachaga wa asili ambao hawachanganyika na kabila lingine? Ndo maana nimeweka picha ya ua kwenye avatar. Lakini niko kwenye kozi ya kujikubali. Soon ukinisifia kuhusu muonekano nitatabasamu na kusema "inhii...asaante". Kama huwezi kunisifia sifa zingine tofauti na muonekano na sauti basi acha tusipendane tu. Mbona ma-HB mko wengi??[emoji4][emoji4][emoji4]
NANDERA
Kwanza ni malkia wa nguvu
Mrembo mwenye staha na mwonekano wa kumvuta mwanaume yeyote aliyekamilika.
Anaaibu fulani ya kike inayoita kwa sauti ya chini isiyo kwaruza.
Hehe haya hebu nipende nami nikupende tuone.
Poa poa..Ngoja nianze tiziKila kheri na toto la kizigua kashamaliza kukunja nguo..
Hivi ulishawi kumpenda mtu kiasi cha kumchora kwenye mboni?Ushaaniudhi. Utanidanganye kitoto hivyo. Huo urembo na mwonekano wangu uliuona wapi? Hivi unawajua wanawake wachaga wa asili ambao hawachanganyika na kabila lingine? Ndo maana nimeweka picha ya ua kwenye avatar. Lakini niko kwenye kozi ya kujikubali. Soon ukinisifia kuhusu muonekano nitatabasamu na kusema "inhii...asaante". Kama huwezi kunisifia sifa zingine tofauti na muonekano na sauti basi acha tusipendane tu. Mbona ma-HB mko wengi??
hahahaaaa.... nimeshaku-PM namba ya m-pesa. Uweke na ya kutolea.Hivi ulishawi kumpenda mtu kiasi cha kumchora kwenye mboni?
Ndicho kilichonitokea. Halafu kama ni mchaga mbona kazi imekwisha. Siunajua mwisho wa mwezi tuna namba nikutunishie mpesa
Najua wewe ni man of your word. Hata ukituma buku mbili utume na ya kutolea.Teh yakutolea.. Nawewe ulishajua kabisa nakutumia na shilingapi!
Au kuna kiasi kinajulika mimi ndiye Sikijui!