KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mkuu, KakaJambazi
Inawezekana kwa hisia tu, ila kwa hali ya kawaida haiwezekani, Mungu ndiye anaewaunganisha na ni yeye ndie alieweka hizo fomula za mimba kukaa kipindi cha miezi tisa tumboni ndipo kichanga kizaliwe.
Basi huyu sio Mungu, Mungu ninaye mjua mm ni mwenye uwezo wote, ndo mana hata Yesu alizaliwa kwa uwezo, sio ka ww kwa njia ya ngono.
Siku ya kuzaliwa,na siku ya kuzaliwa yesu tofauti iko wapi?ukweli ni kwamba ni tarehe ya kubuni ndiyo sababu madhehebu mengine ya kikristu hayaadhimishi siku hiyo sababu haiko kwenye maandishi.

kama angezaliwa tofauti na miezi tisa, basi naamini Biblia ingeandika kwani huo ungekuwa ni sehemu ya Miujiza. kwa vile Biblia haikuandika umri wa mimba ya Yesu kwenye tumbo la mama yake inaniaminisha ilikuwa ni umri wa kawaida (miezi 9).
Hilo twalijua, Yesu alikuwepo kabla hata ya Ulimwengu kuwako, Ila kitu ambacho tunahitaji kujua ni tarehe ngapi alizaliwa? Je hii siku ambayo twaadhimisha christmass au siku tofauti na hiyo? Hapo ndipo msingi wa swali langu ulipojikita.
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.
Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?
inasadikika jesus alizaliwa mwezi wa kumi(ila sina evidensi yeyote) hii ishu ya tarehe25 kuwa ndio alizaliwa jesus haina ukweli wowote na hata ukiwauliza mapadri hili suala wanalijua,... .. .kwa kuwa dini ni iman inayozuia kuhoji/kuelewa sana usitegemee kama kuna muumin yeyote hapa atakayekupa jibu la uhakika.
Naomba kujua upo darasa la ngapi na una umri gani?
kama angezaliwa tofauti na miezi tisa, basi naamini Biblia ingeandika kwani huo ungekuwa ni sehemu ya Miujiza. kwa vile Biblia haikuandika umri wa mimba ya Yesu kwenye tumbo la mama yake inaniaminisha ilikuwa ni umri wa kawaida (miezi 9).
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.
Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?
Biblia yenyewe inasema ka yote yangeandikwa, basi ulimwengu huu usingetosha kwa ukubwa wa li biblia ambalo lingetengenezwa. Ndo mana hakuna sehemu pameandikwa Yesu ameoga, kufua, anapiga mswaki etc. Je sisi tunaofanya tunatoa mamlaka hayo kwa nani? Ukataka kuielewa biblia unapaswa ujazwe na roho mtakatifu akufungulie.
correctly... .. .yule jamaa anaitwa BRIAN DECON ni muingereza mwenye asili ya israel na wala sio yesu.
biblia yenyewe inasema ka yote yangeandikwa, basi ulimwengu huu usingetosha kwa ukubwa wa li biblia ambalo lingetengenezwa. Ndo mana hakuna sehemu pameandikwa yesu ameoga, kufua, anapiga mswaki etc. Je sisi tunaofanya tunatoa mamlaka hayo kwa nani? Ukataka kuielewa biblia unapaswa ujazwe na roho mtakatifu akufungulie.
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.
Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?
KakaJambazi mi nina shida ya kujazwa roho mtakatifu je unaweza nisaidia?