Barikiwa na neno, kichwa hatari na mlinda imani katolili.huyo father Mungu ampe maisha marefu, natamani ningefikia walau nusu ya uwezo wake.
ni hazina ya kanisa la Tanzania
ahante sana mleta uzi.
Ukristo kwako ni upi??Christmas ni upagani dhahiri... ni maadhimisho ya mfalme mmoja shoga
wa kutoamini yale yote yaletwayo na mpinga kristo...Ukristo kwako ni upi??
haitaondoa ukweli na wala haitabadili hata nukta moja ya ukweli kwamba kristo alizaliwa, kristo anazaliwa na kristo ataendelea kuzaliwa ndani ya mioyo yetu wapagani kwa wakristo sio xmas tu bali kila siku.hata kama itawachukua wapinga kristo miaka 1000 ukweli huo kuuelewa kanisa halijali kwa sababu hakuna wa kuuzima, utadumu mpaka kristo mwenyewe atakaporudiView attachment 957929
nadhani ameeleza vizuri sikukuu hiyo ni makubaliano ya kanisa lake ila sio agizo la Yesu.
Haikukumbukwa na Mitume.
Haikukumbukwa hata na hao wafuasi wa mitume wa awali.
Watu ni vizuri wakaelewa hilo pia.
Maoni ya kikundi binafsi yasibebeshwe hadhi ya kuwa universal obligation kwa kila mcha Mungu.
Kuiga mambo ya wapagani ni sawa na Kutoka Nuruni kwenda kutafuta mwanga gizani.
Watu wa Bibilia hawakuhangaika na haya masherehe maana walijua Kuzaliwa na Kufa kwa Yesu mioyoni mwao ni Jukumu la Kiroho la mkristo kila siku sio sikukuu ya kula ubwabwa na kununua mimea kuijaza sebuleni.
Maoni ya wanadamu, yanapaswa kutenganishwa na maandiko katika matamshi na maandishi.
maelezo mengi mazuri yalioandikwa kwa lugha shawishi ila hayana uzito wowote kwenye maandiko matakatifu mzani umeelemea kwenye utamadunishwaji na masimulizi ya kale.
mfano wa mungu aliyetumia giza kuwapeleka watu mwangani.haitaondoa ukweli na wala haitabadili hata nukta moja ya ukweli kwamba kristo alizaliwa, kristo anazaliwa na kristo ataendelea kuzaliwa ndani ya mioyo yetu wapagani kwa wakristo sio xmas tu bali kila siku.hata kama itawachukua wapinga kristo miaka 1000 ukweli huo kuuelewa kanisa halijali kwa sababu hakuna wa kuuzima, utadumu mpaka kristo mwenyewe atakaporudi
kama kuna mungu anayechukia kuwaongoa wapagani, kuwatwaa wapagani na kuwafanya wakristo kwa KUHARIBU, KUVUNJA na KUTEKETEZA mila na desturi za KIPAGANI kisha kufanya Mungu atukuzwe na kristo kujulikana kwayo badala ya miungu ya kipagani huyo mungu atakuwa HAJIELEWI na ninafikiri atakuwa ni yule mungu wa uongo yaani MPINGA KRISTO.
mbona ubwabwa tunakula kila siku mkuu, au kwako huwa mnasubiri mpaka MAKAMBI ndo mkale ubwabwa au jumamosi ? au kwako sikukuu ni kula na kunywa ? ukisha kula na kunywa kwako imetoka lakini kwetu wakristo sio ivyo mkuu ila ni MIOYO YETU ndio inayo kula na kunywa na sio miili au matumbo yetu tu.sio sikukuu ya kula ubwabwa na kununua mimea kuijaza sebuleni.
kusherehekea birthday ya Mungu (Yesu) leo ni kumbinadamisha yeye aliyehai, alikuwa hai milele.mbona ubwabwa tunakula kila siku mkuu, au kwako huwa mnasubiri mpaka MAKAMBI ndo mkale ubwabwa au jumamosi ? au kwako sikukuu ni kula na kunywa ? ukisha kula na kunywa kwako imetoka lakini kwetu wakristo sio ivyo mkuu ila ni MIOYO YETU ndio inayo kula na kunywa na sio miili au matumbo yetu tu.
ndiye kristo mwenyewe aliyependa kutumia giza kwa njia ya kanisa na kuwapeleka watu mwangani na huyo ndiye Mungu ninayefahamu mimi na wakristo wengine wote duniani.mfano wa mungu aliyetumia giza kuwapeleka watu mwangani.
Truth shall set you free, free indeed and not paganism shall set pagans free.
kutumia giza (mambo ya kipaganani na desturi za dunia) Kama mbeleko ya kushawishi dini Badala ya Ukweli wa imani hiyo hakuna uhusiano na kauli ya Yesu hapo juu.ndiye kristo mwenyewe aliyependa kutumia giza kwa njia ya kanisa na kuwapeleka watu mwangani na huyo ndiye Mungu ninayefahamu mimi na wakristo wengine wote duniani.
Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
aliinuliwa pale golgota miaka 2000 iliyopita. hivyo mimi na wakristo wengine hatuwezi leo kuwenda yerusalemu eti kumtafuta kristo wa golgota huo utakuwa ujinga. lakini leo mimi na wakristo wengine kristo tunamwinua kila siku ndani ya MIOYO YETE kupitia sakramenti ya ukumbusho yaani sakramenti ya EKARISTI (fanyeni ivi kwa ukumbusho wangu) na wakristo wa leo tunamuinua na tutaendela kumuinua kristo kila ijumaa ya wiki na kila ijumaa kuu (holy friday) kupitia NJIA YA MSALABA mpaka atakaporudi kwa sababu huo ndio WOKOVU WETU, huo ndio UKRISTO WETU na huo ndio UKOMBOZI WETU .hatuoni sababu ya kuuonea AIBU msalalba, hatuoni sababu ya kuuonea AIBU ukombozi na ukristo wetu. hayo hufanywa na wapagani wapinga kristo.'' Nitakapoinuliwa juu, nitawavuta wengi kwangu'' Yesu
Sio '' Mtakapoinua tamaduni za kipagani juu na kuzihusianisha na mimi, wengi watakuwa wakristo'' human opinions.
nafikiri halina baraka za maandiko ya biblia yako tu na sio biblia ya wakristo. ni kweli kabisa 100% halina baraka za maandiko kwa muono wako na kwa muono wa waanzilishi wa imani yako na sio kristo wala wafuasi wa kristo.hatuwezi kuwazidi akili mitume katika hili maana ni jambo sensitive sana. Wangekuwa pioneer wa xmass.
hili litabaki kuwa hekima za wazee na tamaduni za kiimani ila halina baraka za maandiko.
kumuinua Yesu hatuhitaji Kila Ijumaa au Ijumaa kuu. Na utaratibu huu wa kufanya hayo hizo ijumaa ni makubaliano ya kikanisa, hivyo kikundi flani cha imani kikubaliana mambo flani kwa hekima zao hakilifanyi jambo hilo kuwa Takwa la imani kwa kila Mfuasi wa Kristo. Mkuu ukielewa hilo utakuwa huru zaidi.aliinuliwa pale golgota miaka 2000 iliyopita. hivyo mimi na wakristo wengine hatuwezi leo kuwenda yerusalemu eti kumtafuta kristo wa golgota huo utakuwa ujinga. lakini leo mimi na wakristo wengine kristo tunamwinua kila siku ndani ya MIOYO YETE kupitia sakramenti ya ukumbusho yaani sakramenti ya EKARISTI (fanyeni ivi kwa ukumbusho wangu) na wakristo wa leo tunamuinua na tutaendela kumuinua kristo kila ijumaa ya wiki na kila ijumaa kuu (holy friday) kupitia NJIA YA MSALABA mpaka atakaporudi kwa sababu huo ndio WOKOVU WETU, huo ndio UKRISTO WETU na huo ndio UKOMBOZI WETU .hatuoni sababu ya kuuonea AIBU msalalba, hatuoni sababu ya kuuonea AIBU ukombozi na ukristo wetu. hayo hufanywa na wapagani wapinga kristo.
nafikiri
halina baraka za maandiko ya biblia yako tu na sio biblia ya wakristo. ni kweli kabisa 100% halina baraka za maandiko kwa muono wako na kwa muono wa waanzilishi wa imani yako na sio kristo wala wafuasi wa kristo.
ni kweli kuna watu wanasema nami nakushauri endelea kuwasikikiza hao hao kwa sababu ni uchaguzi wako binafsi kuamua kuwasikiliza au laKuna watu wanasema usiposherekea Krismass sio mkristo
Makubaliano ya Kanisa Katoliki sio compulsory ya kila mfuasi wa Kristo. Hii inajumuisha xmass na easter.ni kweli kuna watu wanasema nami nakushauri endelea kuwasikikiza hao hao kwa sababu ni uchaguzi wako binafsi kuamua kuwasikiliza au la