EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
ndio ninaungana nae 100% ninakufa katika dhambi kila siku, na kwa nyiongeza tu ni kwamba ninafufuka katika wema/kristo kila kila siku.Unaungana na Mtumishi Paulo '' Nakufa Kila Siku''.
kabla hajazaliwa ALIKUWEPO.Kama huna mafumbo matakatifu kwenye imani yako, unayasherekea ya nini? Kutofautisha na wengine ndio maana unaambiwa useme kanuni ya imani. Kama huna kanuni ya imani, utawezaje kusherekea mafumbo ya kanuni ya imani. Huna kalenda ya mwaka, utasherekeaje kuanza kwa mwaka? Kuwepo kwa mafumbo kwenye kanuni ya imani ndiko kunakotufanya tusherekee hayo mafumbo, tarehe si kitu bali thamani ya fumbo linalosherekewa. Kikubwa zaidi kuzaliwa si kitu kama asingalifufuka.
asili ya neno catholic ni kilatini kwa kiswahili universal, popote, kokote, ya wote. kasome kila kilatini ndo urudi hapaMakubaliano ya Kanisa Katoliki sio compulsory ya kila mfuasi wa Kristo. Hii inajumuisha xmass na easter.
Hao nao nawasaidia ikitokea wamependa kuelewa.
andiko amesoma, kalielewa na bahati mbaya kalichana kabakiza kiburi tu na mabishano kama matokeo ya kukosa hoja.tarehe si kitu bali thamani ya fumbo linalosherekewa. Kikubwa zaidi kuzaliwa si kitu kama asingalifufuka.
icho kitu kanisa tunaita "umwilisho" najua hujaelewa na wala huwezi nielewa. ila ukitaka kwa neema ya Mungu unaweza kunielewa hata kama itakuchukua muda.Tusmlazimishe kuwa binadamu kama sisi eti Mungu anabirthday, labda kama tungekuwa hatujui kama alikuwepo kabla ya kuzaliwa. hii sikukuu inamuhafifisha Yesu achilia mbali makandokando yake mengine.
hiyo sikukuu mtazamo wangu sio lazima ukubaliane. INAMUHAFIISHA YESU zaidi ya Kumuinua.icho kitu kanisa tunaita "umwilisho" najua hujaelewa na wala huwezi nielewa. ila ukitaka kwa neema ya Mungu unaweza kunielewa hata kama itakuchukua muda.
sawa hata SDA ni catholic maana wapo karibu nchi zote.asili ya neno catholic ni kilatini kwa kiswahili universal, popote, kokote, ya wote. kasome kila kilatini ndo urudi hapa
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
nakubaliana na biblical facts, nakubalia na sacred tradition, na ninakubaliana na mamlaka rasmi ya ufundishaji ya kanisa TU. nje ya hapo kwangu ni maoni bibafsi tu.hiyo sikukuu mtazamo wangu sio lazima ukubaliane. INAMUHAFIISHA YESU zaidi ya Kumuinua.
kabla hajazaliwa ALIKUWEPO.
Kuzaliwa katika mwili, na Kufufuka ilikuwa ni lazima sio fumbo, na ilitabiriwa na yeye alisisitiza.
halikuwa suala la bahati nasibu.
Utamaduni kwa Kuadhimisha Birthday kwenye Bibilia ulifanywa na wapagani (herode na farao ) na wafalme wa israel waliomuasi Mungu na kuiga desturi za nje.
Kusherehekea birthday ni kuhafifisha Uungu wake, Yeye alikuwepo siku zote, Ni alfa na Omega.
Tusmlazimishe kuwa binadamu kama sisi eti Mungu anabirthday, labda kama tungekuwa hatujui kama alikuwepo kabla ya kuzaliwa. hii sikukuu inamuhafifisha Yesu achilia mbali makandokando yake mengine.
asante kwa kunifahamisha wigo wako wa authoritative source za imani yako.nakubaliana na biblical facts, nakubalia na sacred tradition, na ninakubaliana na mamlaka rasmi ya ufundishaji ya kanisa TU. nje ya hapo kwangu ni maoni bibafsi tu.
hivyo huo mtazamo wako usipouma na hivyo vitatu kwangu sio kitu nitautazama kama mawazo binafsi na kuyachambua pumba pembeni na mchele pembeni kisha mchele ninaubeba haijalishi huo mchele umetoka SDA au WAISLAM kwangu nitaubeba tu
biblical fact ndio ni biblical fact. ni kwenye biblia ndiko tunakochota kweli zote za kiimaniYesu Kufanyika Mwili sio fundisho la imani flani, ila ni Biblical fact.
BaelezeNasadiki kwa Mungu mmoja. Baba Mwenyezi, muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristu, Mwana wa pekee wa Mungu. Alyezaliwa kwa Baba, tangu milele yote. Mungu aliyetoka kwa Mungu, mwanga kwa mwanga, Mungu kwel kwa Mungu kweli. Aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa naye. Ameshuka toka mbinguni kwa ajil yetu sisi wanadamu na kwa ajili ya wokovu wetu. Akapata mwili kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kwake yeye Bikira Maria, akawa mwanadamu.
Hiyo ni sehemu ya nasadiki ambayo kila mkatoliki anaisema kila siku kwernye sala ya asubuhi, anapunguza vipi Umungu wa Yesu kwa kusherekea kuzaliwa kwake?
hakuna anayekataa kanisa kujiwekea sikukuu zake kwa ajili ya waumini wake.Sijui kwa nini kuna watu hii sikukuu inawauma,wanakuja kutuandikia vimaneno vyao vyepesi vyepesi wakihisi watu hawatosheherekea...POLENI SANA Christmas itabaki kuwa Christmas......uhuru wa kuabudu na kuamini...mafundisho yenu FEKI pelekeni kwenye makanisa yenu au misikitini.
Ila usabato huo usio jua ulitoka na kuanzia wapi unauamini.wa kutoamini yale yote yaletwayo na mpinga kristo...
Let them come..!ngoja waje waajilio patachimbika hapa..
unaweza ukaonyesha hilo fundisho la huyo mama kwenye ulichokiquote, itasaidia zaidi kuhalalisha mchango huu ulioutoa.biblical fact ndio ni biblical fact. ni kwenye biblia ndiko tunakochota kweli zote za kiimani
hivyo "umwilisho" linatoka kwenye biblia kwa sababu ni fundisho la kiimani na chanzo cha imani yote ya kanisa ni pamoja na biblia.
"sio fundisho la imani ila ni biblical fact" - unajipinga mwenyewe (sizungumzii umwilisho wa kwenye vitabu vya mama white nabii wa mwisho duniani ila nazungumzia umwilisho wa kwenye biblia kama chanzo cha imani ya wakristo)
Why Christmas time then? kama sio kutaka kutuchafulia hali ya hewa.....maoni pelekeni mnakoabudu.hakuna anayekataa kanisa kujiwekea sikukuu zake kwa ajili ya waumini wake.
kama mtu ataumia kwa hilo atakuwa chizi, na itabidi aumie kwa mengi.
Ila kwa limehusisha Bibilia lazima na sisi wengine wanazi wa bibilia tutoe maoni,maonyo, mafunzo.
mtandao wetu huu mpendwa unatupa uhuru huo mkuu. sio dhambi.
sio kazi yangu kukufundisha KILATINI lugha ya kanisa na lugha ambayo hata kingereza chenyewe unachojidainacho kimetoa misamiati mingi tu ndani yakesawa hata SDA ni catholic maana wapo karibu nchi zote.
Hata Ugonjwa wa Moyo ni catholic
Kifo ni catholic
Uongo ni zaidi ya catholic maana upo kila kona ya dunia hadi wilaya za korea kusini vijijini.
Kujiita catholic sio shida, ila ukweli ni kwamba kanisa la rumi lilijipa nguvu dhidi ya makanaisa na maasokofu wengine wa kale na kwa nguvu za watawala wa kirumi, na kuforce link na petro ili waonekane kama wao ndio Yesu aliwaachia mikoba ila sio kweli.
asante kwa ushauri.Why Christmas time then? kama sio kutaka kutuchafulia hali ya hewa.....maoni pelekeni mnakoabudu.