Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

naona umejitungia uelewa.
onesha nilipotunga ni wapi ?

kwani historia ya SDA utaificha wapi ambako haitaonekana wala kusomeka ?. au ulishaona wapi mafundisho au imani inakumri mkubwa kuliko muanzilishi wake ?. ni ukoo gani huo ambapo mjukuu anaumri mkubwa kuliko babu yake au famila gani iyo ambayo mtoto anaumri mkubwa kuliko mama yake. nadhani ni huko kwenu tu.
 
mkuu unaniangusha, maana hata upagani unaumri mkubwa kuliko hata xmass tunayoijadili achilia mbali hicho unachodhani ni umri wa imani yako.
imani hazipimwi kwa umri bali neno la Mungu.

umequote kuwa nimetoa mambo kwa white sio kwenye bibilia ni vizuri ukathibitisha pia kama utajali lkn
 
kama bibilia imesema na kufundisha. Ikatokea imani flani ya kidini ikalicompile kama fundisho lao. Litabaki kuwa fundisho la Bibilia kama msingi mkuu. Ila Likichanganyana na hekima yoyote ya kibinadamu nje ya bibilia fundisho hilo linakuwa limenajisika.
huo ndio msingi wa hoja yangu mkuu.
jibu swali acha blabla
hivyo unakubaliana na mimi kuwa umwilisho ni fundisho la imani kwa sababu imani yote chanzo chake ni biblia hivyo ni la biblia pia au bado unapinga ??? na kusimamia msimamo wako kuwa sio fundisho la imani ila ni biblia ?
 
jibu swali acha blabla
siwezi kujibu hilo kwa sababu nyepesi zaidi.
imani yako chanzo chake sio bibilia tu.
umenifundisha chanzo chake ni Bibilia, mapokeo matakatifu nje ya bibilia na kauli za kikanisa.
hivyo swali hilo halikusaidii mkuu wewe umeuliza swali ambalo wewe sio mnufaika.

niliomba unionyeshe nilichokuomba. utasaidia pia kwenda sawa.
 
Origin and development (of X mass)
The early Christian community distinguished between the identification of the date of Jesus’ birth and the liturgical celebration of that event. The actual observance of the day of Jesus’ birth was long in coming. In particular, during the first two centuries of Christianity there was strong opposition to recognizing birthdays of martyrs or, for that matter, of Jesus. Numerous Church Fathers offered sarcastic comments about the pagan custom of celebrating birthdays when, in fact, saints and martyrs should be honoured on the days of their martyrdom—their true “birthdays,” from the church’s perspective.

The precise origin of assigning December 25 as the birth date of Jesus is unclear. The New Testament provides no clues in this regard. December 25 was first identified as the date of Jesus’ birth by Sextus Julius Africanus in 221 and later became the universally accepted date. One widespread explanation of the origin of this date is that December 25 was the Christianizing of the dies solis invicti nati (“day of the birth of the unconquered sun”), a popular holiday in the Roman Empire that celebrated the winter solstice as a symbol of the resurgence of the sun, the casting away of winter and the heralding of the rebirth of spring and summer. Indeed, after December 25 had become widely accepted as the date of Jesus’ birth, Christian writers frequently made the connection between the rebirth of the sun and the birth of the Son. One of the difficulties with this view is that it suggests a nonchalant willingness on the part of the Christian church to appropriate a pagan festival when the early church was so intent on distinguishing itself categorically from pagan beliefs and practices.
 
mkuu unaniangusha, maana hata upagani unaumri mkubwa kuliko hata xmass tunayoijadili achilia mbali hicho unachodhani ni umri wa imani yako.
imani hazipimwi kwa umri bali neno la Mungu.

umequote kuwa nimetoa mambo kwa white sio kwenye bibilia ni vizuri ukathibitisha pia kama utajali lkn
sio xmas tu bali unaumri mkubwa kuliko hata umri wa BIBLIA yako
 
sasa tatizo la wewe kulichana andiko la uzi limehamia kwenye ID yake. ID yake inatatizo gani mkuu ?
bigmind
sijaachana na uzi, sasa kama kitu kiko wazi mtu haelewi sio vibaya kutrace chanzo cha tatizo.

kwa mujibu wa wanasaikolijia sio Bibilia lakini.
watu wanaojiita(sio wanaoitwa) wanaakili kubwa huwa wanaakili ndogo.
sifamfanyii assasination ya jina lake, ila nimechanganya na hekima za wanasaikolijia sio lazima iww kweli kwake.
na kama sio kweli muitikia wake utaonyesha hivyo na tunasonga mbele.
 
sio xmas tu bali unaumri mkubwa kuliko hata umri wa BIBLIA yako
maandiko ya ndani ya bibilia ndiyo ninazungumzia sio kitabu, au makisanyo ya kitabu.
jibu lako limeonyesha hujanielewa.
jitahidi kujibu kwa uelewa.
nazungumzia kinachoitwa xmass ambacho kwa mujibu ya wahusika na thread ikirefer maandishi ya bibilia ni miaka 2000 iliyopita, sikutegemee useme tena umri wa bibilia wakati hadi hapo hakukuwa na kitabu chochote kuhusu Yesu wala mitume zaidi ya maandiko ya agano la kale.

tuwe tunaelewana mkuu. usijibu unachokiwaza.
 
siwezi kujibu hilo kwa sababu nyepesi zaidi.
imani yako chanzo chake sio bibilia tu.
umenifundisha chanzo chake ni Bibilia, mapokeo matakatifu nje ya bibilia na kauli za kikanisa.
hivyo swali hilo halikusaidii mkuu wewe umeuliza swali ambalo wewe sio mnufaika.

niliomba unionyeshe nilichokuomba. utasaidia pia kwenda sawa.
haina tatizo. siku ukielewa kwamba biblia ni mapokeo natumaini utakuja kujibu hilo swali. kwa sasa endelea kubaki na akili ya kushindwa kujua mapokeo ni nini, kwa sasa endelea kubaki na akili yavkushindwa kutofautisha kati ya mapokeo na biblia.
 
kama bibilia imesema na kufundisha. Ikatokea imani flani ya kidini ikalicompile kama fundisho lao. Litabaki kuwa fundisho la Bibilia kama msingi mkuu. Ila Likichanganyana na hekima yoyote ya kibinadamu nje ya bibilia fundisho hilo linakuwa limenajisika.
huo ndio msingi wa hoja yangu mkuu.
Sasa kwa taarifa yako, kanisa katoliki biblia siyo chanzo pekee cha imani, tunavyanzo vingine zaidi ya vitano.

Tuna kitu tunaita mang'amuzi/mguso (Godly experiences) kwa hili ijapotokea Mungu akanitendea jambo/akanigusa kwa namna ya pekee je, wewe utawezaje kuelezea mguso wa Mungu kwangu?? Hii ni chanzo experience ya watyu hasa watakatifu ambao nje ya hapo maisha yao ni ushuhuda wa imanni yao kwao na kwa watu wengine.

Tunacho chanzo kingine, haya ni mapokeo na hapa watu wengi sana mnachanganya na vitu kama mitaguso, hapa mapokeo ni mambo mengi ambayo yanafanyika kwenye kanisa lakini hayaandikwa wazi au ayakuandikwa kabisa katika biblia ila yalikuwa yanafanywa na mitume. Haya mambo mengi utayapata katika maisha ya watawa na mapadri au katika taratibu za kiibada hasa misa.

Chanzo kingine ni biblia hapa sitaki kueleza panajulikana.

Pia tuna chanzo cha mitaguso/maandiko(charters) zitokanazo na synodes/mikutano ya mama kanisa/uongozii wa kanisa. Kwasasa tuna mitaguso miwili ya kanisa wa kwanza ni ule wa mitume wa Yesu juu ya ufundishaji na uendeshai wa imani/kanisa na wa pili umefanyika miaka ya 1960s. Pia zipo mikutano mingi ya mababa wa kanisa/maaskofu/makadinali wamekaa na kupitisha inaongoza watu/wauminini hasa wakatoliki kuishi imani moja ya kanisa katoliki la mitume. Unaweza soma maandiko mengi sana, ikiwemo kateksimu (mtaala wa mafundisho ya imani katoliki).

Chanzao kingine ni Roho mtakatifu, hili fika linajulikana Yesu mwenyewe amesema kuwa tutapatiwa mwalimu mkuu wa kutufundisha mambo makuu na yeye utata juu ya Mungu sehemu, maandiko mengi yanaelezea uwepo wa Roho Mtakatifu na kazi zake.

Kufikia hapa kwangu huwa nakuona u mchanga sana hasa mtu unayetafuta kukua kiimani huku ukabaki kuamini kwamba is only the bible has and can reveal the God truths..! Huwa nakuona mchanga sana.
 
maandiko ya ndani ya bibilia ndiyo ninazungumzia sio kitabu, au makisanyo ya kitabu.
ninazungumzia xmas ya kuzaliwa kristo ndani ya MIOYO na ROHO zetu wakristo wa leo kwa kutukumbusha wajibu na namna itupasavyo kuishi kama wakristo na sio habari za tarehe 25 au xmas ya UBWABWA, MITI nk

sio vizuri kuchangia unachfikiria wewe au kutengeneza wewe na kuuacha au kuuficha uhalisia halisi.
 
Sema nini wanajopo, hii sikukuu ina makandokndo mengi sana. Anyway shout out kwa wana wote wanaojiandaa kusherekea.
 
sasa tatizo la wewe kulichana andiko la uzi limehamia kwenye ID yake. ID yake inatatizo gani mkuu ?
bigmind
Hahahh..! Huyu jamaa atakuwa msabato tu, ni kanisa katoliki pekee lenye theolojia yake ambalo halikopi wala kuazima mafundisho kutoka kwa imani yeyote. Ila wao kila imani ya Kiktisto iwayo duniani inachukua mafundisho ya ukatoliki kwa asilimia 80%+
 
ni msabato mzuri tu nami nampongeza kwa hilo. sababu sote tumeunganishwa kwa damu ya kristo
 
Sasa kwa taarifa yako, kanisa katoliki biblia siyo chanzo pekee cha imani, tunavyanzo vingine zaidi ya vitano.

Tuna kitu tunaita mang'amuzi/mguso (Godly experiences) kwa hili ijapotokea Mungu akanitendea jambo/akanigusa kwa namna ya pekee je, wewe utawezaje kuelezea mguso wa Mungu kwangu?? Hii ni chanzo experience ya watyu hasa watakatifu ambao nje ya hapo maisha yao ni ushuhuda wa imanni yao kwao na kwa watu wengine.

Tunacho chanzo kingine, haya ni mapokeo na hapa watu wengi sana mnachanganya na vitu kama mitaguso, hapa mapokeo ni mambo mengi ambayo yanafanyika kwenye kanisa lakini hayaandikwa wazi au ayakuandikwa kabisa katika biblia ila yalikuwa yanafanywa na mitume. Haya mambo mengi utayapata katika maisha ya watawa na mapadri au katika taratibu za kiibada hasa misa.

Chanzo kingine ni biblia hapa sitaki kueleza panajulikana.

Pia tuna chanzo cha mitaguso/maandiko(charters) zitokanazo na synodes/mikutano ya mama kanisa/uongozii wa kanisa. Kwasasa tuna mitaguso miwili ya kanisa wa kwanza ni ule wa mitume wa Yesu juu ya ufundishaji na uendeshai wa imani/kanisa na wa pili umefanyika miaka ya 1960s. Pia zipo mikutano mingi ya mababa wa kanisa/maaskofu/makadinali wamekaa na kupitisha inaongoza watu/wauminini hasa wakatoliki kuishi imani moja ya kanisa katoliki la mitume. Unaweza soma maandiko mengi sana, ikiwemo kateksimu (mtaala wa mafundisho ya imani katoliki).

Chanzao kingine ni Roho mtakatifu, hili fika linajulikana Yesu mwenyewe amesema kuwa tutapatiwa mwalimu mkuu wa kutufundisha mambo makuu na yeye utata juu ya Mungu sehemu, maandiko mengi yanaelezea uwepo wa Roho Mtakatifu na kazi zake.

Kufikia hapa kwangu huwa nakuona u mchanga sana hasa mtu unayetafuta kukua kiimani huku ukabaki kuamini kwamba is only the bible has and can reveal the God truths..! Huwa nakuona mchanga sana.
asante kwa maoni kuwa chanzo cha kanisa katoliki sio bibilia tu.
ubarikiwe kwa maelezo
 
ninazungumzia xmas ya kuzaliwa kristo ndani ya MIOYO na ROHO zetu wakristo wa leo kwa kutukumbusha wajibu na namna itupasavyo kuishi kama wakristo na sio habari za tarehe 25 au xmas ya UBWABWA, MITI nk

sio vizuri kuchangia unachfikiria wewe au kutengeneza wewe na kuuacha au kuuficha uhalisia halisi.
ulichojibu na nilichokujibu ulipojivunia umri haviendani.
jitahidi kuelewa flow ya maelezo yako.
tusijibujibj tu hata pembeni ya kinachoelezwa japo ni halali kutoa maoni humu mkuu.
umedai xmass inaumri mkubwa kuliko bibilia. nikakupa ulichoquote
 
Back
Top Bottom