mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
akiishambulia tutaishia kwenye mada maana sitaijadili kama ambavyo na yeye hajajadili id yake ikiwa amejua hiuo hoja ya kisaikolojia haimuusu.hajakuelewa kama wewe ambavyo hujauelewa uzi wake. sasa na yeye akianza kuishambulia ID yako mtaishia wapi mkuu ?
Amina, haya siyo maoni ni ndiyo ukweli na lazima ujue msingi mkuu wa mafundisho unabaki kuwa biblia, theolojia ya kanisa katoliki haimfundishi binadamu imani ambayo Mungu amefugwa na maandiko (Biblia) kwetu Mungu hana mipaka anatenda mambo makuu na mapya kila uchao.asante kwa maoni kuwa chanzo cha kanisa katoliki sio bibilia tu.
ubarikiwe kwa maelezo
huo ni uongo mkuu.umedai xmass inaumri mkubwa kuliko bibilia. nikakupa ulichoquote
Duh mfalme shoger?Christmas ni upagani dhahiri... ni maadhimisho ya mfalme mmoja shoga
Hahahhah..! Hawa jamaa ni brainwashed sawa na ndugu zangu wale watoto wa mama wa kambo..!Kabla sijamaliza huu Uzi najua kutakuwa na wasabato wameshapotis picha zao kuwa papa ni Freemason
Wasabato ni mafarisayo walimsulubisha yesu.. Nampaka leo wanaendelea kumuudhi..Amina, haya siyo maoni ni ndiyo ukweli na lazima ujue msingi mkuu wa mafundisho unabaki kuwa biblia, theolojia ya kanisa katoliki haimfundishi binadamu imani ambayo Mungu amefugwa na maandiko (Biblia) kwetu Mungu hana mipaka anatenda mambo makuu na mapya kila uchao.
Sasa wewe Mungu wako aliyelimited na biblia, si wa kwanza ata mafarisayo na masadukayo walipatwa na hali hii..! Yesu anaishi mioyoni na anatenda leo na kesho.
Huwa hawana hoja, wakimvizia mlei (layman) wanamtishia, na historia uchwara, wakistuka walipogusa ni pagumu wanasalimu amri mapema kabisa.Wasabato ni mafarisayo walimsulubisha yesu.. Nampaka leo wanaendelea kumuudhi..
Mkuu sogea pm tafadhali nilipoteza mawasilianokama ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya; Sauti ya mtu aliaye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.
Kila bonde litajazwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patalainishwa;
Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu.
luka 3: 4-6
ninawatakia tafakari njema ya MAAJILIO (advent)
Jasho la kuku liko vipi???????????Titus Amigu nasoma article zake Facebook. Na baadhi nmepost humu jf. Ni mwalimu mzuri wa teojia
asante kwa maoni.huo ni uongo mkuu.
mambo ya umri yameanzia kwenye SDA na KANISA kama huko kumekushinda usitake kuyahamishia kwenye biblia na xmas
upagani una umri mkubwa kuliko hivyo vyote biblia na xmas sasa sijui huo ukweli unataka uufiche wapi ?
Theolojia hiyo inahamasisha upotofu.Amina, haya siyo maoni ni ndiyo ukweli na lazima ujue msingi mkuu wa mafundisho unabaki kuwa biblia, theolojia ya kanisa katoliki haimfundishi binadamu imani ambayo Mungu amefugwa na maandiko (Biblia) kwetu Mungu hana mipaka anatenda mambo makuu na mapya kila uchao.
Sasa wewe Mungu wako aliyelimited na biblia, si wa kwanza ata mafarisayo na masadukayo walipatwa na hali hii..! Yesu anaishi mioyoni na anatenda leo na kesho.
asante kwa maoni juu ya maoni.umevunga tu, sio kweli kwamba icho kitu leo ndio unakifahamu leo. unakijua muda mrefu ila kupenda kubishana bishana ndio shida yako
kuhoji ni nini ?usiwe unaanzisha vitu alafu ukihojiwa unaanza kurukaruka.
leta hayo machache na yanayoaminika kwa nini umeyaficha ??Maelezo mengi maana ndogo halafu hayaaminiki wala kueleweka
huu huzi mkuu nimeshaufunga kitambo. lbda nisisitize. '' xmass ni ubatizwaji wa upagani kwa jina la Yesu'' mitume na Yesu mwenyewe watanishangaa nikifafanua nje ya hapo.kuhoji ni nini ?
kurukaruka ni nini ?
uzi umekushindwa kuuelewa sasa unataka tukusaidie nini mkuu, quote huo mrukoruko wangu nitakuja kukujibu.
na uliko ufungulia ni wapi ? mpaka uufunge.huu huzi mkuu nimeshaufunga kitambo.
ni ukweli ambao ni 22/7 au 3.14 labda uhame dunia. huo ukweli ndo unaweza kugeka na kuwa kama unavopenda weweuliposema imani yako ipo kabla hata ya bibilia with reference to SDA, n
kuhusu hayo maneno ya muandishi nimeyafupisha wa, 2 peter 2:3 Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii.na uliko ufungulia ni wapi ? mpaka uufunge.
ni kweli umeufunga kwa hoja za pembeni na sio kwa kuvunja hoja na maandiko ya uzi husika ni kwa sababu huo uwezo HUNA. umeufunga kwa maoni yako na hisia zako ambazo ni unbiblical facts.
ni ukweli ambao ni 22/7 au 3.14 labda uhame dunia. huo ukweli ndo unaweza kugeka na kuwa kama unavopenda wewe