Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Kwani wapi paliandikwa jumapili ni siku ya kuabudu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke akishazaa atakuwaje bikira?
Kweli kabisa! sio tu kuzaa watasema kwa uwezo bla blah, pia Joseph alimuingilia na kuzaa naye watoto wengi tu! Kila mwanamke anazaliwa bikra kisha ubikira unakoma! Kwa nini ubikira wa Mary mnauendeleza!
WANAJF;
Kwanza naomba nideclare kwamba mimi ni Mkristo tena anayejitahidi kwa nafasi yangu kuelewa vema kile ninachoamini. Nikiwa kama Mkristo, msingi wangu wa IMANI umejengwa katika MAANDIKO MATAKATIFU, yaani BIBLIA TAKATIFU. Hivyo, vyote ninavyofanya na maisha ninayoishi yanapaswa yaakisi kile nilichoelekezwa kwenye Biblia. Sasa ndugu zangu, hii Sikukuu ya Kristmas nimekuwa nikisherehekea toka nikiwa mdogo mpaka ukubwani lakni jambo moja ambalo liko wazi ni kwamba HAKUNA UKWELI WOWOTE KATIKA BIBLIA TAKATIFU KWAMBA YESU ALIZALIWA DESEMBA 25. Na kwasababu hii kitu inakosa support ya maandiko matakatifu, hivyo naamini wengi wetu tunaisheherekea tu kwasababu ya MKUMBO na MAZOEA TU. Kama kuna mtu yeyote, Mwanafunzi wa Biblia anayeweza kunisaidia na fungu lolote kwenye Biblia (toka Kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo) basi naomba anisaidie.
Zaidi ya kukosa suport ya Maandiko Matakatifu, lkn pia hata kipindi chote (Miaka 33) alichoishi Bwana Wetu YESU KRISTO hapa Duniani na hata kipindi cha Mitume, hatuoni kama kuna kipindi Bwana wetu Yesu au Mitume walishhiriki Birth-day ya BWANA WETU YESU KRISTO. Sasa hapo ndipo suali linakuja, je waanzilishi wa hii siku ya Kristmas walikuwa na kusudio gani? na ni kwa nini hii siku imekuwa na mwamko mkuu kiasi hiki katika IMANI YA KIKRISTO wakati hata kwenye BIBLIA TAKATIFU haijaonyeshwa kwamba tunapaswa kuisheherekea.
Nafahamu kwamba wapo wale watakaonibeza lkn hata Biblia inatuambia kwamba siku ile ATAKAPORUDI BWANA WETU YESU KRISTO KUWACHUKUA WATEULE WAKE kwenda nao MBINGUNI, hakutakuwa na sababu Ohooo mimi sikujua wala mimi nilikuwa naambiwa tu Viongozi wangu wa DINI (ambao naamini hata ukiwauliza kuhusu hii Kristmas watakosa Jibu la kukuambia, labda itakuwa ni Propaganda tu zisikokuwa na support ya kwenye Biblia Matakatifu). Na Biblia iko wazi zaidi kwa kusema; Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa.
NB: Siamini kama ni makosa kujadili kitu muhimu kama hiki, kwani sioni tatizo la kueleweshana ktk suala ambalo lina mustakabali wa mambo yetu ya kiimani. Ndiyo maana hata katika baadhi ya Makanisa yetu kuna vipindi vya mjadala katika mambo mbalimbali ya kiimani.
Nawasilisha.
hii ni siku ya kumbumbuku tu,si exact siku aliyozaliwa
Ushaidi upo kwenye Biblia Takatifu. Manabii katika Agano la Kale wengi walitabiri kuzaliwa kwake na Katika Agano Jipya Vitabu vinne vya Injili (yaani Mathayo Mtakatifu, Marko Mtakatifu, Luka Mtakatifu na Yohana Mtakatifu) vyote vinaelezea Maisha ya Bwana wetu YESU KRISTO hapa Duniani. Na Vitabu vingine ambavyo vimeandikwa na Mitume kama Matendo ya Mitume, Warumi, Wakorintho, Wagalatia, n.k; vyote vinaelezea maisha ya YESU KRISTO NA MAMBO YOTE YANAYOHUSU UKOMBOZI WA MWANADAMU.
Kule kuna tatizo mkuu,kuna issue leo kwenye moderation, maana naona mambo ya dini yanakimbizwwa kweli huku general public
ilirudi tena!!!!
Songíto;3028401 said:Jamani hawa watu hawapo hapa kuelewa!!! na sidhani kama kuna umuhimu wa kumwelewesha mtu kitu asichokiamnini? hawayaamini yetu kama sisi tusivyomwamini ya kwao na mtume wao!!! Je mnadhani wakianza kutuconvience juu ya mtume wao tutawaamini na kuwasikia? vivo hivyo wao chochote tutakachowaambia hawataaelewa na kuamini...tusubiri siku ileeeee ijayo ambayo wao wanaiita ya kiyama ndo tutajua pumba na mchele
wanatumia jukwaa hili si kueleweshwa bali kusanifu na kukejeli!! Stop wasting time guys educating the non believers... tuwaache waamini kile wanachokiamini na sisi tuendelee na kile tunachoendelea kuamini na huo hasa ndio uhuru wa kuabudu.... tusipoteze muda juu yao