Aah inaonekana huwa wewe sio msomaji mzuri wa biblia
unatakiwa ule kwa haraka jambia kiunoni fimbo mkononi ukikata pande kubwa na kula kwa haraka, usisahau ukaweka chumvi au kubakisha utaharibu sikukuu.
KARUDIE MAANDIKO UREKEBISHE MSIMAMO WAKO.
Hiyo ni sikuku moja tu unayoiamini na hauijui, zilizobaki?