Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
MIMI NI MKRISTO
NINAYE-AMINI KWAMBA YESU ALIZALIWA NA BIKIRA MARIAM, AKAISHI DUNIANI KWA
KIPINDI CHA MIAKA 33, AKAUAWA NA KUZIKWA NA ILIPOFIKA SIKU YA TATU
ALIFUFUKA NA KWASASA YESU MBINGUNI NA ATAREJEA TENA KUWACHUKUA WALE
WALIO WATEULE WAKE KWENDA NAO MBINGUNI KAMA BIBLIA INAVYOSEMA.
HII HABARI YA WEWE SIYO MKRISTO AU WA KICHINA KWASABABU YA SWALI AMBALO
HATAHIVYO BADO HAMJALIJIBU; JE NI KWANINI TUNASHEHEREKEA KILA MWAKA 25
DESEMBA KAMA SIKU YESU ALIYOZALIWA? JE HAYA YANAPATA SUPPORT TOKA WAPI
WKT KWENYE BIBLIA TAKATIFU HAYAPO? -ungenijibu katika hilo ungekuwa
umenisaidia sana, kama una evidence ya kwenye Biblia, otherwise
unajaribu kukwepa ukweli kwamba tunasheherekea Matakwa ya Kibinadamu na
wala si mpango wa Mungu; kwani vipaumbele vyote muhimu katika ukombozi
wa Mwadamu (kazi aliyokuja YESU Duniani kuifanya) vyote vipo kwenye
BIBLIA TAKATIFU.
Nafahamu kuna watu hawapendi kujadili mambo ya kiimani kwasababu zao
mbali mbali lkn lililojema ni lipi? na ni kwanini tunaruhusiwa kuwa na
BIBLIA TAKATIFU na kushauriwa kukisoma? Je kama wote tungekuwa wavivu au
kutopenda kusoma Biblia Takatifu, Je Waakristo Waprotestant wangekuwepo
leo hii bila Martin Luther kufanya jitihada na Kusoma Biblia na kuelewa
yaliyomo?
Mimi nafikiri tusibezane kwa maneno ya kejeli ktk mambo muhimu kama
haya; wewe kama una facts za kutufanya tushehereke leo Desemba 25 kama
sikukuu ya Kuzaliwa Yesu Kristo, tupe hizo facts zinazotoka kwenye
BIBLIA TAKATIFU.
Halafu pia, neno la Mungu lina utaratibu, na hasa Ukristo, hivyo huwezi
kunishawishi kwamba ni suala la mtu yeyote kujisikia ni lini na siku
gani anasheherekea Kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Hiyo dhana ya uhuru huo
unautoa wapi kwenye Biblia takatifu? Labda unishawishi kwamba wewe
Biblia haikuhusu, na kama ndivyo basi hili swala nalo halikuhusu; kwani
hili suala ni kwa wale WAKRISTO AMBAO BIBLIA TAKATIFU NDICHO KITABU
KITAKATIFU na taratibu na Msingi wa Imani yao ipo kwenye Biblia
Takatifu.
NB; H1N1 na Mwafrikahalisi; tafadhali rejea mada yangu hapo juu na uone
kiini cha hoja yangu.
Nadhani hujamsoma vizuri mkuu H1N1 kama unaamini kuwa yesu alizaliwa kwa nini usikubaliane na X mass ni kweli biblia hajaitaja 25 dec kuwa ndo siku siku alipozaliwa Bwana Yesu,lakini wataalam wa maandiko ndo waliikadilia kuwa kuanzia Pasaka siku ya kuzaliwa kristo ilikuwa mwezi Dec.
Kama unaona haipo we unaweza kuendelea na shughuli zako hulazimishwa na mtu.
Last edited by a moderator: