Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?


Nadhani hujamsoma vizuri mkuu H1N1 kama unaamini kuwa yesu alizaliwa kwa nini usikubaliane na X mass ni kweli biblia hajaitaja 25 dec kuwa ndo siku siku alipozaliwa Bwana Yesu,lakini wataalam wa maandiko ndo waliikadilia kuwa kuanzia Pasaka siku ya kuzaliwa kristo ilikuwa mwezi Dec.
Kama unaona haipo we unaweza kuendelea na shughuli zako hulazimishwa na mtu.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja kwanza nikafungue zawadi zangu nitarudi...
 
Umezungumza ukweli mtupu mkuu

Uko sahihi hakuna ukweli wowote juu ya hili

Ni ububusa tu

Mwenye hoja ya maombi atoe nasio kutukana.........!!!!!!!
 
umesoma Mwanzo-ufunuo hujaona sikuku za Bwana?basi soma vizuri kumb-torati utaziona.Albert pike huyo bwana ndiye mwenye siri yote.ukweli xmass ni lengo la shetani mbona watu wazini ,wanalewa siku hii ndio maana na amini alichoandika pike(....by art, industry and our resource we **********.)morals and Dogma Albert Pike)
 
Ht mm najiuriza km bikira Maria alitokewa na maraika mwezi wa 6 nakupata ujauzito mwezi huo, iweje yesu azaliwe mwez wa december 25 inamaana mimba ilika miez 6? Kwa kawaida mwanamke akipata ujauzito huka miez 9. Najua mtajb kua yeye ni mungu au mwana wk pekee wa mungu, km nikwel wap maandiko yameandikwa? Achen kusherehekea ckukuu za ku2ngwa.

Ushauli wangu IDD ndio ckukuu peke iliyo sahihi ht km c mkristo, kwa maana imeandikwa hat kwenye BIBLIA
 
Kawaulize mapadre wa kanisa LA kwanza LA kikiristo na CIO hao waanjirist na wachungaji wa komapokeo
 
mtoa mada una point kubwa sana..inahitaji kujibiwa kwa ushahidi..

lakini ushauri wangu ni kwamba kama huamini na hauna ushahidi wa kibiblia..usisherehekee mbona wengi katika watu hawasherehekei?

Mkuu, 25 dec. ni KUMBUKUMBU ya kuzaliwa Yesu, ....na pia tusizoee kukariri kuwa kila kitu kimeandikwa, mbona sijawahi kuona mstari wowote kwenye biblia toka mwanzo hata ufunuo uliosema Yesu alicheka..unadhani katika maisha yake yote hakuwahi kucheka?!
 
jibu hajapewa,, amesema wapi katika biblia baaaas,,, mbona simpo tu hakunaaaaaa qhalas
 
Mimi ni Mkristo na pia sisherekeagi hio wsnayoita krismas..
Nakuunga mkono 99.8%

Nafurahi kuona kumbe kuna watu wamefunguka kuhusu hilo..


Wonderful..πŸ™„πŸ˜•πŸ™„
 
Mimi ni Mkristo na pia sisherekeagi hio wsnayoita krismas..
Nakuunga mkono 99.8%

Nafurahi kuona kumbe kuna watu wamefunguka kuhusu hilo..


Wonderful..πŸ™„πŸ˜•πŸ™„

we unasherekea nini?
 
PasakaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

usisahau kuniambia tarehe, no kunipa mstari wa tarehe, kama haupo inakuwaje mwaka jana na huu tarehe zikawa tofauti mnahesabu nini (kipo kama agizo kwenye Biblia)?
 
Mbona iko wazi kuwa xmas ni ukumbusho wa kuzaliwa kwa Yesu Kristo na sio exact date? Unless unajipakazia ukristo, pia utahoji kuwa kutoka Dec mpaka March/April (pasaka) ni miaka 30+ ya Yesu!
 

Kwa maoni yako, x-mas isheherekewe lini?
 
ipo kwenye Biblia?
Naonba mstari.

Kwenye biblia ipo na ilikuwa inasherehekewa tangu enzi na enzi kabla ya kuja kwa YESU KRISTO
*******************
Soma,
Mathayo mtakatifu 26:mstari wa pili..
 
itakuwa umeusahau,
pasaka inahusisha kuchinja, huwa unachinja na kula na familia+/majirani, au unakunywa vyoda na pitau tu.

Aah inaonekana huwa wewe sio msomaji mzuri wa biblia
 
Kwenye biblia ipo na ilikuwa inasherehekewa tangu enzi na enzi kabla ya kuja kwa YESU KRISTO
*******************
Soma,
Mathayo mtakatifu 26:mstari wa pili..

baada ya siku mbili ndio tarehe ngapi au nanyi mnabahatisha kama sisi tunaosherekea xmas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…