Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
Naomba kujua upo darasa la ngapi na una umri gani?
Akikujibu hilo tuu bila kutaja elimu yake wala umri atatusaidia kujua alichoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua upo darasa la ngapi na una umri gani?
tatizo kubwa ni KWANINI YESU AZALIWE TAREHE 25 DECEMBER(na tusheherekee) WAKATI HAKUNA UTHIBITISHO WA AINA YEYOTE KUTOKA KWENYE BIBLIA?
na kinachofanya watu wahoji juu ya kuzaliwa kwake hiyo tarehe 25 december ni kwasababu hiyo tarehe kwa hapo zamani wababeli walikuwa wanasheherekea juu ya kuzaliwa kwa mungu JUA/sun god...
katika siku ya JUMAPILI/sundey﹉
Mkuu bila kusahau nchi nyingine huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa Yesu tarehe 24 December kwahiyo ndo ujue fika kuwa hiyo tarehe ni fake tu kama yalivyo maswala mengine kuhusu dini
Kamaa maswalaa yeapi kiongoz
Mkuu hapa naona kama tutatoka nje ya uzi.... Ila kiufupi tafuta uzi wenye kichwa kinachosema " Ukweli kuhusu dini hasa uislamu na ukristo " wa Pokofame sambamba na nyingine nyingi za aina hiyo katika jukwaa hili hili.
Kuna kitabu kinaitwa 'Pagan Christ' tafadhalini kitafuteni mkisome au search kwenye 'Utube' mtajifundisha mambo mengi sana na kuondoa changa la macho na mtajifundisha jinsi ukristo ume-adopt ibada, itikadi, imani, tambiko na mafundiaho mengi mno ya kipagani ikiwemo Christmas, Pasaka, holly communion, kunywa wine na kusymbolise damu ya Yesu, kula mkate kusymbolise mwili wa Yesu mpaka kuungama. Hizi zote zilikuwa ni itikadi na mafundisho ya kipagani.
Muulize Donald Trump hili swali atakujibu effectivelly!
HORUS ambae alikuwa mungu wa ancient Egypt alikuwa mungu wa Jua aliabudiwa miaka 3000 kabla Yesu kuzaliwa. mungu mwing anaeitwa Mithras aliyeabudiwa miaka 2000 kabla ya Yesu kuzaliwa na hii Mithraism ilikuwa ni dini ya warumi wakati Yesu anazaliwa mpaka kusulubiwa. HORUS NA MITHRAS wote wamezaliwa December 25th. Ibada za dini zote walikuwa wa ki fanya siku ya jumapili wakati Yesu alifanya ibada zake siku ya jumamosi (sabath)
1. Horus alikuwa na 12 disciples
2. Alisulubiwa siku ya Pasaka na akafufuka baada siku tatu
2. Aliitwa the Messiah, son of god, good shepherd, lamb of god, the way the truth and the light
3. Alitembea juu ya maji
4. Ageuza maji kuwa wine
5.alibashiriwa na nyota tatu
Aiseee nimepitaa kwa hiyoo thread ..
unaweza changanyikiwa kama humjuii Mungu wakoo vema
hahahaa!
ile ni sehemu ndogo tu ya arguments zinazoweza kutingisha imani yako
Mimi huwa sikubaliani na watu wanaoamini,huku wakiwa na wasiwasi moyoni
kama kuna kitu kinakutatizo katika kitabu chako cha dini,kichunguze wewe mwenyewe kuliko kumtegemea mchungaji
kama wewe upo interested na science,kitabu cha Genesis pekee kinatosha kuondoa imani yako
BTW,kwani mbinguni na jehanum kupi kuna joto zaidi?
mbinguni ndio kuna joto kali sana... .. . maana huko ndio kuna sulipher nyingi zaid
na ukitaka uthibitisho kutoka kwenye biblia nitakuletea
Mkuu Bennie 369,hebu toa huo uthibitisho ili hawa wakristo wa jumapili nao wajifunze
lakini unahitaji new thread