Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

mbinguni ndio kuna joto kali sana... .. . maana huko ndio kuna sulipher nyingi zaid
na ukitaka uthibitisho kutoka kwenye biblia nitakuletea

Uthibitisho uje ukiwa kama thread inayojitegemea plz...... Nawasilisha
 
6. Horus was baptised in the river Heridanus wakati Jesus in river jordan
7. Both walibatizwa wakiwa na miaka 30
8. Horus alibatizwa na Enup the baptizer wakati Yesu alibatizwa na John the baptist
9. Wote wawili walisulubiwa
10. Wote wawili walisulubiwa miongoni mwao walisulubiwa na wezi wawili
11. Wote wawili walitambulika kwa nembwe ya samaki au Pisces.

Kuna zaidi ya similarities 40. Nawaachia nyinyi mufanye utafiti kupitia Google na Utube. Hii ni historical fact na sio zinajulikana na watu wote Europe isipokuwaa sisi wa africa wengi hatujui ndio hawajui tunaendelea kudanganywa tu.

Mkuu asante sana kwa kuniongezea hii,

Kama Yesu alitambulika kwa nembo ya pisces ni wazi kuwa Yesu hakuzaliwa dec bali alizaliwa kati ya february na march
Ntatafuta hicho kitabu, na kwa kuanzia you tube itanipa mwanga.
 
@ Amoneyazan, ishu sio mimi au wewe au wale dini gani. Sasahivi tunaishi zama za information age, mambo ya kudanganywa yamepitwa na wakati, information is at your finger tips.
Wazungu wametuletea ukristo wakati wao wameusaliti na kuyaacha makanisa mengi Europe kuwa matupu wakati huku Africa kila corner kunajengwa makanisa mapya na makubwa ukilinganisha hali za waumini wake ni duni mno. All based on lies.

Sipingii uyasemayoo
Ila kinachonipa duku duku ni hiyo analyse unayoifanyaa .
Je ime base katika Ku criticise ukristo pekee....?
Au na kwinginee pia unaangaliaa..

And that's the reason why I asked for your religion kiongozi
 
@ Amoneyazan subject ya hapo juu inauliza 'December 25, je ni siku ya kuzaliwa kwa Yesu' Mi nikaona nichangie mawili matatu based on historical facts ambazo hata wewe unaweza ukazichambua kwenye internet au Utube. Video zimekuwa documented na National Geographic, History Chanel, BBC, CNN, CHANEL 4 (UK) uki search Utube utazipata zote. Please do.
Kwakuwa subject inamhusu Yesu na Christianity theology isingekuwa sahihi kuleta maada inayohusu Hinduism, Judaism au islam. (Siku criticise bali nimetia mwanga, as they say 'shed a light' onto the subject matter)
 
Below ni list ya documentaries ambazo unaweza kuzipata uki - search youtube, hizi ni MUST WATCH for all!
1. 'Pagan Christ'
2. 'The God who wasn't there'
3. 'Parallel between Jesus and Horus'
4. 'Zeitgeist movie'
5. 'The origin of Christianity Mithras the Persian religian'
6. 'Constantine, Christianity and Mithraism'
 
‪#‎CHRISTMAS_NI_UPAGANI‬
‪#‎UNAOTUKUZWA‬!?
_________________________
Maelfu ya watu duniani leo wanaamini X-MASS ni
sikukuu ya ‪#‎kuzaliwa_kwa_YESU‬ japo wachache
hawaamini.
..Makundi haya mawili ; moja litakuwa SAHIHI, maana neno la Mungu halijipingi.
Hebu tuiulize BIBLIA itusaidie majibu ya waziwazi
bila ‪#‎KUPINDISHA_maneno‬.
Tuangalie X-mass
(A) KATIKA BIBLIA AGANO JIPYA.
(B) NA JINSI INAVYOHUSIANA NA:
🏾>NIMRODI (mungu jua)
🏾> ‪#‎TAMUZI‬ (mungu mwana wa jua)
🏾>SEMERAMIS (mungu mke-marikia wa
mbinguni);
🏾> Kuwafungulia wafungwa.
(A) ‪#‎TUANZE_NA_AGANO_JIPYA‬.
**LUKA 1:26-31
‪#‎MWEZI_WA_SITA‬ (6) malaika Gabrieli
alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa
Galilaya, jina lake Nazareti,
kwa mwanamwali bikira ......
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu,....
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto
mwanamume; na jina lake utamwita ‪#‎YESU‬.
>>Tumeona tangazo la Maria kubeba mimba ya
Yesu likitolewa mwezi wa sita ;
Iweje kufika mwezi wa 12. Awe kazaliwa !!!?
‪#‎SWALI‬ :
Je; Yesu alizaliwa ‪#‎NJITI‬ (kabla ya miezi
9)?
‪#‎JIBU‬:
LUKA 2:6,7.
"?siku zake za kuzaa ‪#‎ZIKATIMIA‬ .
..akamzaa..."
>>Tumeona kumbe siku za mwanadamu kuzaa
(miezi 9) zilitimia .
...Hakika Tangu Kitabu cha
Mwanzo mpaka ufunuo hakuna ushahidi wa X-
MASS (25.desember) kuwa ‪#‎Sikukuu_ya_LUZALIWA_YESU‬.
Yesu alikaa na mitume na wanafunzi wake kwa
zaidi ya miaka mitatu; lakini Muda huo wate
hawakuwahi kumwona/kumsikia akiwahimiza
‪#‎WASHEREHEKEE_SIKUKUU_YA_KUZALIWA_KWAKE‬
kwa kutenga tarehe yoyote ile.
...wala wanafunzi
hawakuwahi kuulizia tarehe ya yeye kuzaliwa.
Hata baada ya kupaa kwake mitume
hawakutenga siku yoyote.
>#SWALI:
***KWANINI YESU ‪#‎HAKUWAPA_WAAMINI‬ WA
KWANZA TAREHE YAKE YA KUZALIWA NA
KUWAHIMIZA WAISHEREHEKEE??
>#JIBU:
Hii ni dhahili kuwa Yesu hakuona umuhimu wa
watu kusherehekea kuzaliwa kwake maramoja
kwa mwaka.
Kutokana na umuhimu wa YESU ndani ya maisha
ya watu;
Aliwataka wafungue mioyo yao ‪#‎AZALIWE_NDANI_YAO‬ KILA SEKUNDE, Ilikubadirisha Maisha yao
sikukwasiku ,hivyo sherehe ya kuzaliwa Yesu
haina ukomo na inafanyika ndani ya MIOYO
WAMTUMAINIO Kila sekunde; wanaitikia kuzaliwa
Huko Kwa kuacha maovu kila siku.
>#SWALI:
****JE; KUNA ‪#‎SHEREHE_YOYOTE‬ AMBAYO
YESU ‪#‎_ALIWAAGIZA_WAIFANYE‬ KAMA
KUMBUKUMBU YA KILE KILICHOMFANYA
AZALIWE KUISHI KUFA NA KUFUFUKA?
>#JIBU:
Walipewa ‪#‎PASAKA‬ (passover) na siyo Easter
‪#‎Utaratbu_wa_PASAKA_NI_HUU‬:
YOHANA 13:9-15
..Basi alipokwisha kuwatawadha miguu, na
kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena,
akawaambia, Je! Mmeelewa na hayo
niliyowatendea?
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu,
nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo
‪#‎KUTAWADHANA‬ miguu ninyi kwa ninyi.
..Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi
nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.
>Mitume wanaendeleza PASAKA kama agizo la
Yesu. siyo X-MASS wala EASTER ifanyikayo
mwezi March au April (zote za kipagani)
1WAKORINTHO 11:24-26
..naye akiisha kushukuru akaumega, akasema,
Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni
hivi kwa ‪#‎UKUMBUSHO_wangu‬.
..Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe,
akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu
yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa
#UKUMBUSHO_wangu.
..Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea
kikombe hiki, ‪#‎MWAITANGAZA_Mauti‬ ya Bwana
‪#‎hata_AJAPO‬ .
Tumeona tukio lipaswalofanywa kama
kumbukumbu ya kile kilichofanya Yesu azaliwe na
kufa.
>> Pia tumeona utaratibu wa kuendesha #PASAKA
(MEZA YA BWANA) na hatupaswi kiuka huo
utaratibu wa:
🏾>Kuoshana miguu waamini wote (wanawake
kivyao) kama ishara ya unyenyekevu.
🏾>Kula mkate; waamini wote ;
🏾>Kunywa divai isiyo na chachu; waamini wote.
*******************
(B) #FAMILIA_YA _NIMRODI (mungu jua) #KIINI
CHRISTMASS:
....Baada ya kuona Yesu mwenyewe na biblia ktk
agano jipya #ikiikana_CHRISTMASS (Dese.25)
kuwa siyo SIKUKUU ya kuzaliwa YESU.
...Tuangalie
#chanzo_chake kwa #Uthibitisho wa BIBLIA
🌿**#HISTORIA_YA_NIMRODI**
Mwanzo 10:8-12.
Kushi akamzaa... #NIMRODI_akaanza kuwa
mtu #HODARI_katika_nchi.
Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za
BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi,
hodari wa kuwinda.....
Mwanzo wa ufalme wake ulikuwa #BABELI
(machafuko) na Ereku, na Akadi, na Kalne, katika
nchi ya Shinari.
.....akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji
mkubwa.
>>Tumeona alivyoishangaza dunia ya kipindi
chake kwa uhodari wake hadi wakamdhania
anatenda mbele za Mungu ; yani uhodari wake
siyo wa Kawaida .
Ana miji mingi na mikubwaa pamoja na Babeli
(machafuko).
Katika fungu hapa chini tutauona mwanzo wa
#upagani_wake; Mana alisimamia ujenzi wa
#MNARA_mrefu_WA_BABELI ; ili wamfikie Mungu
mbinguni; marabaada ya garika .
Hivyo Akajiinua awe sawa na
MUNGU.
.Huu ulikuwa UASI MKUU na upagani Kinyume na
NENO LA MUNGU ( "Tawanyikeni usoni pa nchi")
**MWANZO 11:4-9.
Wakasema, Haya, na #tujijengee_mji, na
MNARA, na kilele chake #kifike_MBINGUNI ,
tujifanyie jina; ili tusipate #kutawanyika_usoni pa
nchi yote.
BWANA akashuka ili auone #MNARA na mji
waliokuwa WAKIUJENGA wanadamu.
BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa
moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo
wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa
neno wanalokusudia kulifanya."
Kwa ufupi Nemrodi ni kitukuu cha Nuhu
kilichozaliwa baada ya
#Gharika_Kinatoka_ukoo_wa_HAMU mwana wa mwisho wa NUHU ambae
uzao wake #ULILAANIWA kwa Kosa lake (Hamu)
kuuona Uchi wa NUHU na kucheka....
#NIMRODI_ktk_ufalme_wake alifanya makuu mpaka
akaanza kuabudiwa #kama_mungu
; Alikuwa na mke aliyeitwa #SEMERAMIS nae
akahesabiwa kama mungu mke.
Baada ya kifo cha Nimrodi akimwacha mkewe
mjane anaeheshimiwa kama mungu Mke;
SEMERAMIS alipata mimba ktk Ujane wake;
chakushangaza alipoulizwa Akasema ;
Mimba ile ni ya #NIMRODI; akiwambia kuwa
Nimrodi alipokufa alikwenda kwenye #JUA hivyo
HUWA ANAKUJA Kumtembelea kwa mionzi na ndiye kampa
mimba ile.
Watu walimwamini japo ukweli ni kuwa mtoto
kwa jina #TAMUZ_aliyezaliwa 25. DESEMBER.
alikuwa wa #UZINZI .
>>Hivyo Nimrodi akaendelea kuwa mungu jua ; na
akiabudiwa kila JUMAPILI.
>>Semeramis akaendelea kuwa mungu mke
marikia wa mbinguni.
>> #TAMUZ akawa mwana wa mungu Jua.
#Akisherehekewa kuzaliwa kwake kila mwaka; 25.
#DESEMBER.
#CHRISTMAS_SHEREHE
YA#KUZALIWA_TAMUZ:
____________________________
. Baada ya X-mass kuanzia #BABELI upaganini
iliendelezwa na Wapagani wa Kirumi.
Mbali na kusherehekea kuzaliwa kwa TAMUZ
ndani ya sikukuu hii;baadhi ya #wafungwa
walikuwa wakiachiwa huru.
...
**YEREMI 52:31,33.
Hata ikawa, katika mwaka wa thelathini na
saba wa kuhamishwa kwake Yehoyakini, mfalme
wa Yuda, katika #MWEZI WA ....12....#SIKU ya
..25.ya mwezi, Evil-merodaki, mfalme wa Babeli,
katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake,
akamwinua kichwa chake Yehoyakini, mfalme wa
Yuda, akamtoa gerezani.
Baadae kulitokea mapatano kati ya DINI TAIFA
LA RUMI YA KIPAGANI na KANISA la kipindi cha
kushamili kwa UPAPA.
...mambo ya #KIPAGANI_yakavishwa vazi la KIKRISTO ili waumini
wasiyastukie vizazi na vizazi.
Kisha YAKAINGIZWA
kanisani.
Chini ya ungozi wa UPAPA yakisimamiwa na
Joka la zamani, yule Baba wa uongo na Mpinga neno la
Mungu tangu zamani.
*#AYA_NI_BAADHI TU YA MAMBO YA #KIPAGANI_YALIYOVISHWA_UKRISTO
🏾01: Sherehe ya #kuzaliwa_TAMUZ .mungu mwana
wa mungu jua yani 25.Desember.
>>Ikavikwa jina la Kuzaliwa YESU KRISTO.
🏾02: Siku za kufunga wakimlilia TAMUZ baada ya
kifo chake.
>>Zikavikwa jina la mfungo wa KWALEZIMA (siku
40) kabla ya ijumaa kuu.
🏾03: Siku ya kumwabudu mungu jua (Nimrodi)
yani #Jumapili .
>>Ikavikwa Jina la Siku ya BWANA, siku ya
ufufuko wa Yesu.
🏾04: mungu mke yaani Semeramis malikia wa
mfalme Nimrodi, mama wa mungu mwana
(TAMUZ)
>>Akavikwa jina la #BIKIRA_MARIA ,malikia wa
Mbinguni mama wa Mungu.
🏾05: #EASTER. Pia ni sikukuu ya Kipagani; amboyo
makanisa mengi uifanya leo katika mwezi wa
TATU au WANNE.
>>ikavikwa jina la #PASAKA aliyoifanya Yesu
kabla ya kifo chake.
#TAZAMA_MACHUKIZO:
**EZEKIELI 8:14-16.
"..Ndipo akanileta mpaka mlango wa kuingilia
katika nyumba ya BWANA,...na tazama, wanawake (KIUNABII NI
MAKANISA) wameketi #WAKIMLILIA_TAMUZI.
..Akaniambia,...
Utaona tena #machukizo makubwa kuliko hayo.
.. Akanileta mpaka ua wa ndani wa nyumba ya
BWANA, na tazama, mlangoni pa hekalu la
BWANA, kati ya ukumbi na madhabahu,
walikuwako watu kama ishirini na watano,
#wamelipa_kisogo_hekalu_la_BWANA (wameziacha
kweli za biblia kwa kutanguliza mapokeo ya
kibinadamu)
na nyuso zao zimeelekea upande wa
mashariki, nao #WANALIABUDU_JUA,...."
***#KWANINI WATU_WANADANGANYWA??
🏾i/- VIONGOZI WA DINI.
wameshiriki kupotosha
kweli za neno la Mungu kwa. Maslahi binafsi
tangu zamani. Hata YESU algombana nao sana.
MATHAYO 15:
".. Mbona wanafunzi wako huyahalifu #MAPOKEO_ya_wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo
chakula.
..Akajibu,.. Mbona ninyi nanyi
huihalifu #AMRI_ya_Mungu kwa ajili ya #MAPOKEO_yenu?
🏾ii/- Kutozingatia neno la Mungu kwa kulichunguza
sisi wenyewe, Kisha kuamini kila #WAFUNDISHALO_Viongozi.
2.TIMOTHEO 4:3-6
".. Maana utakuja wakati #Watakapoyakataa_mafundisho yenye #UZIMA ila kwa kuzifuata nia
zao wenyewe watajipatia waalimu makundi
makundi,...
nao watajiepusha #wasisikie_yaliyo_kweli, na
kuzigeukia #hadithi_za_UONGO.
🏾iii/- #MAWAKALA_WA_Shetani wamejivika dini
wakijiita Manabii na mitume.
2.WAKORINTH 11:13-15.
"..watu kama hao ni #mitume_wa_UONGO,
watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe
mfano wa mitume wa Kristo.
.. Wala si ajabu. Maana #SHETANI_Mwenyewe
hujigeuza awe mfano wa malaika wa NURU
..Basi si neno kubwa watumishi wake nao
#KUJIGEUZA_wawe_mfano wa watumishi wa haki,
ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi
zao.
🏾iv/-#MANABII_WA_UONGO
wameibuka na
Kuaminiwa maana wanapenda kuhubiri
yanayowapendeza wasikilizaji ili wajipatie FAIDA
2PETRO 2:1-2.
1 Lakini kuliondokea manabii wa MANABII katika
wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako
#waalimu_wa_UONGO, watakaoingiza kwa werevu
#uzushi_wa_KUPOTEZA...."
2 Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao
njia ya kweli(YESU) itatukanwa.
..Na katika kutamani watajipatia faida kwenu
kwa #maneno_YALIYOTUNGWA.
⌚**#JINSI_YA KUHEPUKA_MAD_NGANYO**⌚
🏾..UFUNUO 1:3.
" #Heri_asomaye na wao wayasikiao maneno ya
unabii huu, na #KUYASHIKA_yaliyoandikwa_humo;
kwa maana wakati u Karibu"
👉🏾📖..MATENDO 17:11
..Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale
wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno
kwa uelekevu wa moyo, #WAKAYACHUNGUZA_maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo
ndivyo yalivyo. karib "
>>nasi Tuyachunguze maandiko kuthibitisha kile
Viongozi wa dini wafundishacho
;Hatakama
wanafanya #MIUJIZA_ya_KUKAUSHA_BAHARI;
tena Tuyachunguze kwa unyeyekevu mbele za
Mungu na kumwomba Roho. Atueleweshe na
#Tuwe_tayari_kuyafuata.
************************************************
📖>>#Mungu_hajal_WENGI_WANAIFUATA X-MAS au
Fundisho lolote la UONGO; Bali anajali
#WANAOLITII_NENO_LAKE.
Hebu tizama ,
...Kipindi cha Nuhu waliokoka #wanane(8) tu
watiifu kati ya Mamilioni,
(Mwanzo 7:13)
...Kipindi cha SODOMA walipona #watatu_tu_watiifu kati ya MAELFU.
(Mwanzo 19:27)
*****************************
TUSIZIGEUZE DINI KAMA MASHAMBA YA URITHI
Tusiyoweza kuyaacha;
Bali tuzingatie NENO LA MUNGU LISEMACHO
mana ndilo liwezalokutupatia URITHI wa UZIMA WA MILELE.
📖 Tuiseme #KWELI_Tusijedaiwa siku ya mwisho.
*********************************************
*********
**never hid the TRUTH, watch out**
 
Which religion kiongozi

He is Free thinker to be Exact.Guided By the same code Of Morality that Define us what we're.
He Doing good without hope for Reward or Fear punishment and Probably that's his Way of life.You can call it Religion Maybe.
Note:Free thinker isn't Atheist.
 
Jesus is among greaatest men to live on earth Sioni ubaya wa xmass kusherekewa siku ya kipagani because religion is an illusion anyway
 
Jesus is among greaatest men to live on earth Sioni ubaya wa xmass kusherekewa siku ya kipagani because religion is an illusion anyway

Teh teh teh

Kuna Mtu Juu Huko Anauliza kubadili Bar kuwa kanisa ni Dhambi?
Sio Dhambi kama waumini wa Hilo kanisa ndiyo wateja walewale wa Hiyo wa hiyo Bar.
 
Teh teh teh

Kuna Mtu Juu Huko Anauliza kubadili Bar kuwa kanisa ni Dhambi?
Sio Dhambi kama waumini wa Hilo kanisa ndiyo wateja walewale wa Hiyo wa hiyo Bar.

Hahaha hakuna tatizo kabisa kunywa ngano iliochachushwa mbona matunda yaliochachushwa yananyweka tu church...
 
He is Free thinker to be Exact.Guided By the same code Of Morality that Define us what we're.
He Doing good without hope for Reward or Fear punishment and Probably that's his Way of life.You can call it Religion Maybe.
Note:Free thinker isn't Atheist.

Haha brother how did you know that is good
how can you distinguish between bad and good
where do you get those standards if you aren't Atheist?
 
Hahaha hakuna tatizo kabisa kunywa ngano iliochachushwa mbona matunda yaliochachushwa yananyweka tu church...

Si ndiyo Hapo
Yesu alibadili Maji kuwa Wine lakini hata Chris Angel hiki kitu Anakiweza.naye tumuite nabii?
 
Haha brother how did you know that is good
how can you distinguish between bad and good
where do you get those standards if you aren't Atheist?

Listen amoneyazan like Religions,Ethics is Human Fabrications and in some Extent,it Comes Naturally From Our Conscience.
Divine Authority has nothing to do with Morality

Let me ask you a Question to Illustrate My point;
who told you that To kill is Evil?Probably not,Neither Religion nor science
This unique Behaviour Came Intrinsically From your own Conscience

If you believe there Absolute Autholity or Divine Being from Whom All social Events in our society are Measured.then you are wrong
By the way,Do you know the Meaning Of Situational Ethics?if yes Do you believe in it?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom