Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Mimi nilishawachoka hawa watu mkuu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha fanya yako nass tuachie imani yetu huna point hata moja hapo
Mkuu quran ina mapungufu kuliko unavyoweza kufikiria labda kama hujaipitia.
Quran 7: 54 Allah anasema aliumba dunia kwa siku 6
Quran 10:13 anarudia kusema aliumba dunia kwa siku 6
Ukisoma 41:9 anadai aliumba dunia kwa siku 2
Tukiendelea hapo kidogo 41:10 anadai aliumba kwa siku 4, ukisogea kidogo hapo 41:12 anasema aliumba mbigu zote Saba kwa siku 2
Hivi hili we unalizungumziaje? Au huyu allah ni muongo? Tuamini lipi?
Unatudanganya mkuu pasaka ndo ilikuwepo kabla hata ya yesu kuzaliwa...na co chrismass
Dah,kama umeshindwa kuona hata point Moja
Basi Kaa na upumbavu wako.
Kama ni kweli, basi huu ni msiba kwa wakwepa kitimoto
Kwani unahisi naweza nikatunga? Mi nimenukuu tu baada ya kusikia kuwa hicho ni kitabu kisicho na dosari na ni spoken speech. Nnayo mengi tu ila niliona niishie hapo nisije kuharibu uzi wa watu
Mimi nilishawachoka hawa watu mkuu
Duh! Ngoja niwasikie watakavyotokwa na povu
Hata Mimi nimewachoka pia labda tumuachie Jimena
Hawa watu wanasikitisha sana.
Dini zenyewe wameletewa,Hakuna hata Nabii Mweusi
lakini wao ndiyo wapo Mstari wa Mbele kuzitetea
Laiti Africa isingekuwa na Dini,Basi ingekuwa Mbali sana Kiuchumi.
Hata Mimi nimewachoka pia labda tumuachie Jimena
Hawa watu wanasikitisha sana.
Dini zenyewe wameletewa,Hakuna hata Nabii Mweusi
lakini wao ndiyo wapo Mstari wa Mbele kuzitetea
Laiti Africa isingekuwa na Dini,Basi ingekuwa Mbali sana Kiuchumi.
Yesu hakuzaliwa ndyo maana siku ya kuzaliwa kwake binadamu hatuijui,,over
Yesu hakuzaliwa ndyo maana siku ya kuzaliwa kwake binadamu hatuijui,,over