Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Mkuu quran ina mapungufu kuliko unavyoweza kufikiria labda kama hujaipitia.
Quran 7: 54 Allah anasema aliumba dunia kwa siku 6
Quran 10:13 anarudia kusema aliumba dunia kwa siku 6
Ukisoma 41:9 anadai aliumba dunia kwa siku 2
Tukiendelea hapo kidogo 41:10 anadai aliumba kwa siku 4, ukisogea kidogo hapo 41:12 anasema aliumba mbigu zote Saba kwa siku 2
Hivi hili we unalizungumziaje? Au huyu allah ni muongo? Tuamini lipi?

Kama ni kweli, basi huu ni msiba kwa wakwepa kitimoto
 
Haijalishi Yesu alizaliwa December 25 au la, jambo la muhimu kwetu ni kuwa tunajua Yesu alizaliwa na kwa sababu hiyo tunamkumbuka ni siku ambayo tunaitumia kukumbushana habari njema za ufalme wa Mungu ulioletwa baada ya Kristo kuzaliwa,hata ikiwa tarehe 2 June haitabadirisha ukweli kuwa Yesu alizaliwa
 
Binadamu amepitia vipindi vingi. Mojawapo ni kipindi cha kuzuka kwa imani. Utaona kipindi hicho kama miaka 500 hadi 1000 zilizuka imani tofauti tofauti. Kwa sasa hakuna imani mpya tena.
Yaliyotokea yametokea sasa binadamu anabadilika
 
Kama ni kweli, basi huu ni msiba kwa wakwepa kitimoto

Kwani unahisi naweza nikatunga? Mi nimenukuu tu baada ya kusikia kuwa hicho ni kitabu kisicho na dosari na ni spoken speech. Nnayo mengi tu ila niliona niishie hapo nisije kuharibu uzi wa watu
 
Kwani unahisi naweza nikatunga? Mi nimenukuu tu baada ya kusikia kuwa hicho ni kitabu kisicho na dosari na ni spoken speech. Nnayo mengi tu ila niliona niishie hapo nisije kuharibu uzi wa watu

Duh! Ngoja niwasikie watakavyotokwa na povu
 
Mimi nilishawachoka hawa watu mkuu

Hata Mimi nimewachoka pia labda tumuachie Jimena
Hawa watu wanasikitisha sana.
Dini zenyewe wameletewa,Hakuna hata Nabii Mweusi
lakini wao ndiyo wapo Mstari wa Mbele kuzitetea

Laiti Africa isingekuwa na Dini,Basi ingekuwa Mbali sana Kiuchumi.
 
Last edited by a moderator:

Hata mimi hili linaniumiza sana 😢
 
Last edited by a moderator:
Hata Mimi nimewachoka pia labda tumuachie Jimena
Hawa watu wanasikitisha sana.
Dini zenyewe wameletewa,Hakuna hata Nabii Mweusi
lakini wao ndiyo wapo Mstari wa Mbele kuzitetea

Laiti Africa isingekuwa na Dini,Basi ingekuwa Mbali sana Kiuchumi.

Mi ndo nimewachoka sana pengine hata zaidi yenu, ila wakizidisha kujifanya wajuaji ndo natupia moja au mbili kisha natulia
 
Last edited by a moderator:
Yesu hakuzaliwa ndyo maana siku ya kuzaliwa kwake binadamu hatuijui,,over
 
Dah wabongo jamani mnatia aibu! tusomeni jamani tuondokane na ujinga, ndio maana hata toothpics zinatushinda kutengeneza tuna import kutoka China! Amoneyazan kasepa!
 
Shetani hana mama, Kama mmebaki kulilia juu ya Yesu alizaliwa lini jibu hakuna turahisishe tu kwamba hakuzaliwa. Ndyo maana tunaambiwa alikuwepo kabla ya dunia kuwepo.
 
Back
Top Bottom