Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Wewe unayeamini katika Kristo Yesu, jilinde na chachu ya watu wasioami ktk Kristo, hata kwa upande wao mada zipo lakini kwanini uutie moyo wako unajsi. Mungu atusaidie sana
 
Shetani hana mama, Kama mmebaki kulilia juu ya Yesu alizaliwa lini jibu hakuna turahisishe tu kwamba hakuzaliwa. Ndyo maana tunaambiwa alikuwepo kabla ya dunia kuwepo.
Turahisishe
?

Mkuu,Mara ya mwisho kusoma Biblia ni lini?
Yesu Hakuzaliwa?so Bikra Maria alimzaa Lowassa?

Njo na sababu zinazoeleweka usirahisishe Mambo kupita kiasi
Albert Einstein aliwahi kusema Hivi,"You can Make thing,simple and simple as Possible But not Simpler"

Let Me remind you;
Mathayo 2:1
"Yesu ALIPOZALIWA katika Bethlehemu ya Uyahudi Zamani za Mfalme Herode"
 
Einstein uki argue na bible bashers it's pointless, how can you argue with someone who says God was born but he wasn't born? Or there are 3 (gods) that bare witness in heaven, but there is really one God? Wine is the blood of Jesus? Bread is flesh. That's some mysterious shit that even 20 Einstein couldn't explain it because they will definitely be short on mysteriousness
 
Einstein uki argue na bible bashers it's pointless, how can you argue with someone who says God was born but he wasn't born? Or there are 3 (gods) that bare witness in heaven, but there is really one God? Wine is the blood of Jesus? Bread is flesh. That's some mysterious shit that even 20 Einstein couldn't explain it because they will definitely be short on mysteriousness
Hahahaha

You said It All Bro.
Personally,I can Never win the Debate Against Someone who Reject All Evidence and Proof In order to Maintain Illusion Of Eternal Life
 
Why do use a bible as a defensive mechanism, making it as a protectiveshield,are you in war with the jews.........

ujinga wake ni contrary different na shutuma zako kua Quraan ni human fabrication, tangu lini mjinga akafanya fabrication?

mbona unarudia nilichokisema kuhusu tofauti ya oral na witten speech, have I honeyparted you.

Muujiza ni Spoken speech ( Quraan )kua na accuracy beyond all books in this world.

haya leta kasoro mojamoja ndani ya Quraan tuione ,Google inaweza husika.

NB: weka aya nzima.

Learn First How to construct cogent Argument..
I hadn't use Bible as My Shield

Your Argument above Based on wrong Premises
you Claim that,Since Mohammad was Illiterate so He could never written the Quran

Following your silly Line of Reasoning,then Quran is Miracle
This is Absurd
Historically,Mohammad was Raised by his Uncle,Also He traveled as Merchant

No Merchant trade can Exist without Ledger of How Much was shipped.
Mohammad wasn't illiterate
 
Einstein, actually it is a known fact that Muhammad was unlettered (could not read nor write, illiterate in other words) He dictated the Qur'an to his companions who wrote it down on animal skins and tree barks, he would then quality check to see if they captured it right. He memorised all the chapters of whatever he dictated to his companions, this showed that he had excellent capacity to memorise, ofcourse this is common with the Muslims who are trained to memorised their scriptures so it is possible. In those days to be a good merchant you had to have excellent memory so you can capture your stocks and sales, this was quite common in his time as most folks couldn't read nor write ( but I'm sure they had good maths skills though)
 
Last edited by a moderator:
Unachanganya mambo hapa! Nilikuwa tu najaribu kumsahihisha mleta mada alipouliza kuhusu Wakristo wanasherehekea siku ya kuzaliwa Kristo, ndiyo nikamjibu kwamba wakristo wanasherehekea kuzaliwa kwa kristo na siyo siku ya kuzaliwa!

Sasa hayo mambo ya Upagani au sijui Biblia imeorodhesha siku ya kuzaliwa kristo au la hiyo ni mada nyingine, mimi nilikuwa nataka kumsahihisha tu kulingana na swali lililoulizwa!




Kama wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu na siyo siku. Je wanaweza kusherehekea tarehe tofauti na 25 december?
 
Ndio siku yeyote inaweza kusherekewa Christmas na sio kubadili siku hata kuacha kusherekea inawezekana kabisa kwani kisicho badilika ni Neno la Mungu tu
 
Kama wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu na siyo siku. Je wanaweza kusherehekea tarehe tofauti na 25 december?

Inawezekana kabisa kwa maana hakuna anayejua Yesu alizaliwa lini hasa nikimaanisha tarehe/siku kwa maana hiyo basi ndiyo maana haiitwi kusherehekea siku ya kuzaliwa Yesu bali inaitwa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu!

Zingatia tofauti ya hayo maneno mawili sherekea siku ya kuzaliwa na sherehekea kuzaliwa ni vitu viwili tofauti ya kwanza ni siku maalumu ambayo unaifahamu na ya pili inaweza kuwa ni siku yoyote ile ambayo wewe utaichagua ambayo unaona inafaa kulingana na mahitaji yako labda kwa kuwa inaangukia Jumamosi au Jumapili n.k!

Kama wewe ni Mkristo jaribu kwenda kanisani siku ya noeli halafu sikiliza kwa makini mchungaji atasema nini, ukiwa makini utasikia akisema leo hii tunasherehekea kuzaliwa kwa Bw. wetu Yesu kristo na wala hatosema leo hii tunasherehekea siku ya kuzaliwa Bw. wetu Yesu Kristo kuna sababu kwa nini anasema hivyo, nayo ndiyo hiyo niliyoieleza hapo juu kwamba siku maalumu haijulikani!
 
Mohammad pbuh wasn't illiterate? ?? .....hallelujah
This isn't a uefa psychomotor kick off ,dumb sensory cells wouldn't be shocked by your response

Mohammad pbuh received the speech from Almighty God, You can't find Idiolect that belongs to Mohammad pbuh in the Quraan

even the sequence arrangement of verse in the Quraan is shocking, You will come across verses that correlates to each other eg.. The 1st and the last , the second last and the second first. ect ......meanwhile let me leave this apart.


Let me give you an example that later came to be known as the Big bang theory.

?Have those who disbelieved not
considered that the heavens and the
earth were a joined entity, then We
separated them, and made from water
every living thing? Then will they not
believe?? (Quran 21:30)


As a travelling merchant which astronomy laboratory did muhammad pbuh met. ????

Can you Explain In details How Exactly those sentences Account For Whole creation of universe?
 
Einstein, actually it is a known fact that Muhammad was unlettered (could not read nor write, illiterate in other words) He dictated the Qur'an to his companions who wrote it down on animal skins and tree barks, he would then quality check to see if they captured it right. He memorised all the chapters of whatever he dictated to his companions, this showed that he had excellent capacity to memorise, ofcourse this is common with the Muslims who are trained to memorised their scriptures so it is possible. In those days to be a good merchant you had to have excellent memory so you can capture your stocks and sales, this was quite common in his time as most folks couldn't read nor write ( but I'm sure they had good maths skills though)

Nope
They hadn't Maths skills at All.Number were Developed After His Death

During that time,All trade were operated By letters,Forexample A=1,B=2...
so How could Mohammad be successful trader without knowing letters?
 
Last edited by a moderator:
Whether alizaliwa tarehe 25 Dec au March kama mnvyotaka, huyu jamaa amebadilisha maisha ya watu jamani! Kuna watu bila injili kuwafikia walikuwa wanyama kabisa! Wanaoliishi neno lake ni watu safi kabisa kwa misingi aliyoiweka. Problem ni wale vuguvugu na wasiotakakumsikia kabisa. So, mpeni siku yoyote mnayotaka awe alizaliwa, it be tar 1 December, tar 1 April, tarehe 9 December, or whatever! Ukweli unabaki kuwa wanaomua kufuata mafundisho yake kweli wanabadilika positively. Mnanipata kidogo?
 
ha ha ha previously you're crying for a cognitive argument,know you have slightly slide to an astronomical account for the whole universe creation,do you consider your self among astronomers?

ignoring sings doesn't quality you as a brave atheist.

please answer my question,don't skip it

Ignoring sings???

You've Asserted that,Bing Bang Model is within scope Of Quran,then I asked you For scientific Description that Reinforce your Claim.Why you Ignored My Question?

Listen,Quran has nothing to Do with BBT
Both BBT and Inflationary theory Are Far More Complicated than you Think.
The verse you Mentioned Is neither Cogent nor sensical..
It begin with Earth,as Already Existed Material contrary to Our recent Understand of Solar system.

By the way,those Non-logical reconciliation Are often Intended to Keep the lunatic Believers like you in Faith.
[case closed]
 
Kwan hakuna mtoto anazaliwa na miez 7??
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema, Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu. Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
LK. 1:24-27 SUV
Rafiki, huo ulikuwa mwezi wa sita wa mimba ya Elizabeth, na sio mwezi June! Hivyo kama wachangiaji wengine walivyosema Haruna rekodi kamili ya tarehe
 
Back
Top Bottom