Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Samahani mm sio mtaalam sana wa mambo ya imani,,,

Ila naona kama mnatafautiana imani hapo,,mwenzio anaamini katika Mungu baba,Mungu mwana na Roho mtakatifu wewe mitale na midimu unaamini YESU ndio Mungu mwenyewe
Wakatoliki wanakitu wanakiita FUMBO LA IMANI,,huwezi kulipinga kwa namna yeyote kwa sababu halikuhusu,,ukifanikiwa kulisoma utaelewa anamaanisha nn,,yaani Fymbo hilo ndio siri ya Kanisa,, mengine yote ni blaa blaa

Please naomba utafute hilo fumbo
hilo fumbo halijadiliki mkuu ? au ni siri na fumbo hadi huku mitandaoni.
ila mkuu nashukuru kwa maoni, hata mimi nimekiri kuwa hata xmass ni mambo ya kikatoliki sio ya kibibilia.
ndio maana siwalaumu kwa mambo yao ya imani, ila nawahoji tu kwa kulazimisha kuyahalalisha kwa kutumia bibilia wakati wanakili kuwa mambo yao bibilia sio hakimu wa Mwisho. wanamahakimu watatu, bibilia, mapokeo wanayoyaita matakatifu na kauli za wakuu zao. Yaani hakuna tofauti kati ya kauli au barua ya papa Fransis kwa katisa katoliki Bugando na Barua za Paulo labda kwa wakorintho. Vyote vinahadhi sawa bila kujali content.
kama nakosea nikosolewe maana wenye imani wamo humu wanaweza kuweka sawa.

Tunapojadili tunasaidia kujua imani zetu, ili kupunguza kuzushiana na kujua nini tunatofautiana na kwa nini.
 
hakuna anayekataa kanisa kujiwekea sikukuu zake kwa ajili ya waumini wake.
kama mtu ataumia kwa hilo atakuwa chizi, na itabidi aumie kwa mengi.
Ila kwa limehusisha Bibilia lazima na sisi wengine wanazi wa bibilia tutoe maoni,maonyo, mafunzo.
mtandao wetu huu mpendwa unatupa uhuru huo mkuu. sio dhambi.
Hahahhah..! Hawa jamaa ni brainwashed sawa na ndugu zangu wale watoto wa mama wa kambo..!
Huwa sioni tofauti ya Waislam na Wasabato...


Ni ndugu moja hata misimamo yao ni sawa...
 
Petro akuongea kiswahili, aya na mimi nijibu swali langu Petro aliwai angalau mara moja kuadhimisha hii official day 25/December kuwa kumbukumbu ya mazazi ya Yesu?
Ulitaka ashike speaker akutangazie wewe [emoji351] [emoji348] [emoji348]
 
nyie msiofungamanisha endeleeni,acheni watu wafanye mambo yao na nyie fanyeni yenu mbinguni kila mtu anakwenda mwenyewe,tangu mmeanza hili zoezi mshapata wangapi????😀😀😀😀 mnachekesha kweli
Sawa kumbe umeamua kukumbatia ujinga
 
Usikimbie kimbie tarehe 25/December ni mwalimu gani na kwa andiko gani?
Andiko ndio mboga gani wewe [emoji351] [emoji348] akili za kisilamu bana [emoji15] wee unalo andiko mudi katahiriwa nyama ya govi lake?
 
watapata tabu sana kama ndio mapambano wanayaendesha kwa hoja nyepesi namna hiyo.......wanapaswa kuangalia na ukubwa wa hicho wanachopambana nacho.
wanatia huruma
Kama unaamini jambo halafu huwezi kulionyesha kimaandiko , zaidi ya kuleta soga linakuaje kubwa jambo hilo!! inashangaza kweli
 
Andiko ndio mboga gani wewe [emoji351] [emoji348] akili za kisilamu bana [emoji15] wee unalo andiko mudi katahiriwa nyama ya govi lake?
Tulia kwenye mada , hata wakina Adam awakutahiriwa na wakina NUHU, mambo ya kuleta masuala ya kiutamaduni kwenye mambo ya kimaandiko lazima uwe unatapatapa tareh 25/December wapi ?
 
Anionyeshe andiko mbona rahisi tu, speaker wewe ombea sadaka
wee Ushahidi kwamba Wafuasi wa Yesu wanasherekea kk ya KUZALIWA YESU [emoji123] [emoji106] kwa akili za kisilamu sishangai unaamini Yesu hajazaliwa [emoji15] [emoji12] isa pale kwenye mtende alizaliwa lini [emoji351] [emoji348]
 
Wenzenu walishagundua Ellen Gould White alikuwa kichaa......

Pitia hapa..


Tatizo la humu ndani watu awajui kabisa kucheza ndani ya mada, hili dai lako linaweza kuwa sawa au sio sawa, lakini haina uhusiano na hii mada , ebu tulieni kwenye mada
 
wee Ushahidi kwamba Wafuasi wa Yesu wanasherekea kk ya KUZALIWA YESU [emoji123] [emoji106] kwa akili za kisilamu sishangai unaamini Yesu hajazaliwa [emoji15] [emoji12] isa pale kwenye mtende alizaliwa lini [emoji351] [emoji348]
Huku kuangaika kote ni kuonyesha hauna kabisa hoja za kimaandiko kuhusu Christmas hivyo umebaki kurusha mate tu kama nyoka
 
Hao jamaa wafuate uwahoji mwenyewe ila mimi naamini haya.
kama historia yako mwenyewe inakusumbua unataka tukusaidie nini sasa cha ziada mkuu

umeanza kuwakana ndugu zako wa miaka ya 1844 sio, utaelewa tu nachomaanisha nafikiri uliponiletea mfano wa kibwetele uliwasahau ndugu zako wapiga ramli wa kule marekani. au ulidhani kanisa linajishughulisha na mambo ya tabiri tabiri za kinabii ?. lilitumwa kuhubiri injili na kutafuta kilichopotea tu.
naomba maoni yako kwenye mambo yako unayoyaamini, na umekiri kwa maandishi kuwa unayaamini, na umeayatumia kujenga hoja.
ukitaka kujua na kuelewa kwa kina mambo ninayoamini mimi usiteseke na mitandao au .com au nani kasema nini au kafundisha nini. ILA TAFUTA BIBLIA USOME ni kwa njia hiyo tu utaelewa vizuri mambo ya imani yangu. ukiona biblia ni ngumu au ni kubwa tafuta CREDO ujisomee kwani yamefanyiwa sumary humo.
 
Endelea kubwabwaja kama zuzu...Ogopa kikundi kilichoanzishwa na Mwanamke...ni bora SDA ingeanzishwa na William Miller au Joseph Bates...

Endelea kuburudika...

Kaka unatoka nje ya mada, kama unataka kumuelezea huyo mwanamke fungua uzi wako mkuu, ila hiyo sio mada hapa
 
Back
Top Bottom