Mkataba wa jezi wa Simba ni tofauti na wa Yanga. Simba imemalizana na mkandarasi (Sanda) kwa kuwa amelipa 4B kwa miaka miwili na anabaki yeye kupigana arudishe hela yake na faida, akiboronga kwa kiasi kikubwa hasara inakuwa yake. Simba inabaki kuangalia maslahi ya wadhamini wake wengine katika jezi hizo (NBC PL, M-Bet, Mo
Yanga inabidi ichungulie kila step ya jezi (design, quality, idadi nk) maana inapata sh. 1,300/= kwa kila jezi, hela nyingine inaenda kwa mkandarasi (simtaji maana mnamjua, aliingia kwa gia ya udhamini lakini kwa sasa anacontrol udhamini na udhaminiwa, yaani contractor na client sides yupo yeye). Kwa maana nyingine, Yanga wasipokuwa na mtu mwenye uchungu na klabu kama Magoma, mkandarasi anaweza akauza kwa mfano jezi laki nne, akaja kusema ameuza laki tatu