Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Mtu anapouza kitu , jua Kuna jambo limemsibu Sasa unavoleta negative mkuu mtu kama alikuwa na Nia ya kuinunua mnamkatisha tamaa, sio poa chief
tulitaka kujua tumepata baadhi ya details kutokana na maswali mfano hukusema kuwa ulinunua mwez wa tatu, ila baada ya maswali ndio ukasema
 
Upo serious kweli!!?? Unauza desktop milioni 2!!??
Ngoja tuone
 
Duh! Hata dukani haiuzwi 2 millions, we hiyo milioni 2 sijui ka utapata mteja
 
Duh! Hata dukani haiuzwi 2 millions, we hiyo milioni 2 sijui ka utapata mteja
Jamani milioni mbili wapi nimesema wakuu huyo jamaa ana lengo lake , ebu someni tangazo nililo andika mm
 
Upo serious kweli!!?? Unauza desktop milioni 2!!??
Ngoja tuone
Jamani milioni mbili wapi nimesema wakuu huyo jamaa ana lengo lake , ebu someni tangazo nililo andika hapo juu ,achana na mtu mwenye lengo la kuharibu tangazo
 
tulitaka kujua tumepata baadhi ya details kutokana na maswali mfano hukusema kuwa ulinunua mwez wa tatu, ila baada ya maswali ndio ukasema
Sasa Kuna njia nyingi za kujua mkuu ,ungeuliza lakini sio KUONGEZA option zako unazojua wazi zinaharibu tangazo la mwenzio
 
Hiyo Tower sijaiona vzr ipige picha vyema
Nimeipiga Tena kwa flash
IMG-20221010-WA0096.jpg
 
Tuwe makini, vuguvugu la panya road bado halijaisha, kuuziwa bomu inje inje
 
Huyo jamaa sijaelewa shida yake nini? Sasa anaukiza why jina liko kwenye default mode [emoji23][emoji23]
Itakuwa ya kampuni Sasa hujiulizi kwanini hio kampuni isiandike jina lao
Hujaelewa anachomaanisha? edit uzi wako ongezea Bei.
Kama hujaandika bei means ni bei yoyote mtu itakayomjia kichwani.....
 
Back
Top Bottom