Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Chombo ya kazi hiyo. Wazee wa Library msiache huo mgodi yaani mchawi location tu 280 inarudi ndani ya week tu
 
Watu wa extra miles kwenye usage hii ndo Mashine syo ya library hii
 
Wakuu habari ya jioni !

Hii desktop nimeitangaza hapa kama mara mbili au tatu na Kila nikitangaza nashusha bei , hapa Nina order za watu kama 8 lakini wanaishia kuahidi tu na hawaji kuichukua

SPECIFICATIONS:

1. RAM 4GB (unaweza ongeza Hadi 16GB)

2. HDD 750GB (ziko mbili ya 500gb na 250gb)

3. CPU 3.2GHz

4. Core i5(Intel)

5. Dell ya kusimama

Location tabata-dar

Bei ni 250k na wanaojua desktop hii bei NIMESHUSHA sana lengo iweze kuuzika[emoji120] nyuzi za nyuma nilitangaza 400k

Kuna watu kwenye post za nyuma walikuwa wanahofia kuwa huenda ya wizi naomba muondoe shaka hii PC nimenunua dukani so mdau akitaka kuandikishana ni vyema na uzuri nipo jirani na kituo Cha polsi kata

Simu 0747456177
Nitakucheki
 
Bado Ipo
 
Sio siri tangu uanze kuitangaza naitamani kinoma, nj vile budget zangu hazijakaa mkao mzuri. Kila la kheri
 
Sawa ikishindikana inabidi niichukue mimi, am serious
 
Back
Top Bottom