Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Keshokutwa naingia mkoani desktop sina pa kuiweka na huko nakoenda sina matumizi nayo

Nimeitangaza kwa muda wa wiki tatu lakini Leo nimeamua kuiuza kwa hio bei 220k

SPECIFICATIONS:

1. RAM 4GB (unaweza ongeza Hadi 16GB)

2. HDD 750GB (ziko mbili ya 500gb na 250gb)

3. CPU 3.2GHz

4. Core i5(Intel)

5. Dell ya kusimama

Location Tabata-Dar

Bei ni 220k na wanaojua desktop hii bei NIMESHUSHA sana lengo iweze kuuzika[emoji120] nyuzi za nyuma nilitangaza 400k

Kuna watu kwenye post za nyuma walikuwa wanahofia kuwa huenda ya wizi naomba muondoe shaka hii PC nimenunua dukani so mdau akitaka kuandikishana ni vyema na uzuri nipo jirani na kituo Cha polsi kata

Simu 0747456177View attachment 2400270View attachment 2400269
mkuu naitaka niko tabora naomba number zako
 
Weka ushahidi kwamba ni ya kwako kwa vielelezo vya risiti halafu nitakusaidia kukutafutia mteja chapchap
 
HP PAVILION

-storage.
ROM/HDD: 500GB
RAM: 8GB DDR4

Processor: AMD A6-6310 APU with AMD radion R4Graphics 1.80GHz

System: x64 bit-based processor

Keyboard: Lightened

Window 10 pro

Battery: 4hrs+

Bei: 450k
 

Attachments

  • IMG_20221026_192044.jpg
    IMG_20221026_192044.jpg
    45 KB · Views: 4
  • IMG_20221026_192100.jpg
    IMG_20221026_192100.jpg
    58.6 KB · Views: 4
  • IMG_20221026_192118.jpg
    IMG_20221026_192118.jpg
    78.5 KB · Views: 4
  • IMG_20221026_192342.jpg
    IMG_20221026_192342.jpg
    71.2 KB · Views: 4
  • IMG_20221026_192402.jpg
    IMG_20221026_192402.jpg
    85.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom