Determine Fc 0- 2 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Morocco

Simba ile game na far rabat wataikumbuka, ni kosa kubwa kushindwa kushinda game ile, kocha arekebishe mambo, timu inakosa saana mabao ya wazi.
Niliiangalie ile game, usemacho ni kweli tulistahili kuoata point kama sio zote 3 basi angalau 1 lkn kukosa umakini safu ya ushambuliaji rukajikuta tumeooteza points zote 3! Wafungaji wajipange kisawasawa mechi ya jana ilikua zipatikane goli 6 wameambulia 2 tu ambazo zingewasaidia sana mechi ya mwisho. Lakini wajioange cha msingi game ijayo ushindi muhimu, simba guvu moyaaaa💪💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…