Salange
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 680
- 644
Tangu lini Mwakyembe alitoaga misaada Kyela? Anawanyima hata watoto wadogo wakiomba kampira kachakavu wacheze chandimu!Ni wakati sasa kwa wabunge wengine akiwemo Mwakyembe wa jimbo la Kyela kutoa barakoa kwenye majimbo yao ili kusaidia wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app