Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kuna watu wanaojali maendeleo na kuna watu wanaowaza maslahi ya chama tu. Hawa kazi yao ni kupinga chochote anachofanya chama tofauti nayeye. mfano Joseph Mbilinyi ni mbunge wa CHADEMA na anafanya yaliyo mazuri mengi tu lakini kwavile yeye ni mwana ccm umekunywa maji ya bendera ya chama anajenga chuki moyoni mwake dhidi ya mbunge Joseph Mbilinyi kwavile tu yupo chama tofauti.Kuna maendeleo bila siasa? if yes..
How?!
Siasa ndio inayoleta wabunge, wabunge wanapitisha bajeti inayopeleka maendeleo kwa wananchi, wewe hayo maendeleo yako ya "kusafirisha misiba" ndio yamekudumaza akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app