Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Kampeni kwenye siasa za kiafrika.
Nimeona vichupa vya sanitizer vimeandikwa ccm, wengine chadema naona huyu mwanamke ameamua kuandika kwenye barakoa.

Ukiamua kusaidia usisaidie kwa kutengeneza kampeni ndani ya msaada unaotoa inakuwa mambo ya hovyo sana.

Ni maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibarakoa tu keleleee kwani akitoa tu bila camera kibao haitoshi?
yeye mwenyewe wala hata hakujua kama anapigwa picha , ni mimi tu na kiherehere changu
 
Pole pole anakuja nazakwake kuna picha yake kabisa.
Mbona hukuuliza RA alivyotoa msaada Yale madubwana yenye nembo ya Taifa gas kila kona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo yeye sio mwanasiasa, au hujasoma nilichoandika! Mnatetea mtu ambaye akikutolea damu anatamani hata akupige chata la jina lake usoni.
 
natoka hapa, Wote wana siasa za kishamba tu.

Huyo Devotha amewaiga UVCCM maana na wao kwny Sanitaiza waliandika UVCCM
 
Kampeni kwenye siasa za kiafrika.
Nimeona vichupa vya sanitizer vimeandikwa ccm, wengine chadema naona huyu mwanamke ameamua kuandika kwenye barakoa.

Ukiamua kusaidia usisaidie kwa kutengeneza kampeni ndani ya msaada unaotoa inakuwa mambo ya hovyo sana.

Ni maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kila mmoja angekuwa na uwezo wa kujinunulia barakoa sio shida, usimlaumu anaetoa barakoa yenye chapa yake, WALAUMU CCM KWA KULETA UMASIKINI ULIOTUKUKA KWA WATANZANIA WANASHINDWA HATA KUNUNUA BARAKOA, wanaotoa zenye chapa wapongezwe kwa kujali uhai wa watanzania.

Viva Devotha Minja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte,
Huyu devota naye anataka sifa tu kwaniasingeziandika majina yake zisingepokelewa yaani chadema wana tafutaka kiki za kishenzi tu
 
denooJ, Siko hapa kulaumu chama chochote ila natoa maoni yangu kuhusu misaada inayotolewa kwa kupenyeza agenda za kampeni za kisiasa.

Pamoja na umaskini wangu siwezi kuvaa barakoa imeandikwa jina la mwanasiasa au chama chake hata zikiwa sanitizer situmii, sijui wanatuonaje watanzania kwamba wajinga sana tunaweza kutumika kwa vitu cheap cheap au vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYU DEVOTA NAYE ANATAKA SIFA TU KWANIASINGEZIANDIKA MAJINA YAKE ZISINGEPOKELEWA YAANI CHADEMA WANA TAFUTAKA KIKI ZA KISHENZI TU
Naona UVCCM ikitafuta kiki hapa.
Screenshot_2020-04-25-10-58-22-1.jpg
 
Politics politics politics. Kama kutoa ni moyo, kulikuwa na ulazima gani kuandika imetolewa na Devota Minja? Unatumia ugonjwa kufanya siasa.
 
Kama kila mmoja angekuwa na uwezo wa kujinunulia barakoa sio shida, usimlaumu anaetoa barakoa yenye chapa yake, WALAUMU CCM KWA KULETA UMASIKINI ULIOTUKUKA KWA WATANZANIA WANASHINDWA HATA KUNUNUA BARAKOA, wanaotoa zenye chapa wapongezwe kwa kujali uhai wa watanzania.

Viva Devotha Minja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea wanasiasa wa ovyo, regardless ni wa chama gani.
 
Back
Top Bottom