Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Amefanya jambo la busars
Enyi wanamrogoro msirudie kosa 2020, mchagueni huyu anayewakinga na kifo si huyo anayetaka mkufe ndio akupelekeni kuzika hapo ndio ionekane kakupeni msaada

Awamu hii muulizeni kwanini asitoe msaada kuokoa maisha ya wanamrogoro?


Ukitaka kuamini kuna misukule hai..wewe ongelea vby ccm Moro!
 
Ni wakati sasa kwa wabunge wengine akiwemo Mwakyembe wa jimbo la Kyela kutoa barakoa kwenye majimbo yao ili kusaidia wananchi
Kama madiwani wabunge na rais kutoka vyama vyote wangefanya haya tangu siku za mwanzo ugonjwa ulipoingia possibly tungekua hatua moja mbele katika kukabiliana na maambukizi mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katikati ya changamoto kubwa fursa kubwa hupatikana pia.
Kuelekea Oktaba, Abood yawezekana masharti ya mganga kusaidia zika watu tu na si vinginevyo.

Kuna project fulani nilitaka kuifanya 2016! Nikajikongoja kivyangu kwa ugumu mnoo...!

Nikasema ngoja nikaombe msaada kwa abood anisaidie palipobak..akasema ohh jiunge na wanawake wenzio muwe kama 20 hivi na abood news ije ndo tutoe huo msaada🤣🤣! Shenzy kbs..!

Mtu umetumia millions of money alaf unajiunga na wenyej wamkoa huu wavivu had kuamka tu ..unataka ufe kwa stress..Abood hafai kbs huyu babu!
 
Kwahiyo Barakoa ndomaendeleo yenyewe au sio

Ndo yaleyale ya kupewa ubwabwa na kufurahia bila kujua maendeleo sio ubwabwa wala barakoa.

Chagueni watu watakao waletea maendeleo na sio wanaosubiri opportunity kama ya kugawa barakoa.

Chagueni watu wenye vipaji vya kutumia japolimited resources zilizopo jimboni kuwaletea maendeleo na sio wapiga kelele wa chama huku wakisahau matatizo ya jimbo.
 
hatuwezi kutoa bila kuandika mtoa msaada? wanasema kutos ni moyo lakini picha picha na maandishi yanatia wasiwasi kuna nini nyuma ya msaada....
 
Wanasiasa wakati mwingine ni watu wa ovyo sana. Barakoa inageuzwa bango la matangazo na jina lake. Mwambie mtu huyu asaidie bila kupewa promo kama utaona hata mia yake. Disgusting!
 
Back
Top Bottom