Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Pole pole anakuja nazakwake kuna picha yake kabisa.
Mbona hukuuliza RA alivyotoa msaada Yale madubwana yenye nembo ya Taifa gas kila kona?
Wanasiasa wakati mwingine ni watu wa ovyo sana. Barakoa inageuzwa bango la matangazo na jina lake. Mwambie mtu huyu asaidie bila kupewa promo kama utaona hata mia yake. Disgusting!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Devota minja vs Aboud
Kiakili..kielimu...kimaendeleo, kimikakati.... Abood haweki pua kwa Devo
hahaaaaaaaa
aisee, unajua maana ya kuendesha biashara na ikashamiri miaka zaidi ya 5 bila kuyumba...
katafute hoja nyingine mkuu..
Comment yake nimeona aibu Mimi
 
Hiyo kuandika jina Ni upuzi tisha!,jingine ajifunze kushika barakoa vizuri namanisha ashike mikono yake si Apo pakupumulia,kingine wananchi wawe makini na barakoa hizo si anapewa na kuvaa hapohapo wakazifue kwa maji na povu jingi kisha kuzipiga pasi ndipo wavae ,KUWENI MAKINI NA BARAKOA

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Devota minja vs Aboud
Kiakili..kielimu...kimaendeleo, kimikakati.... Abood haweki pua kwa Devo
hahaaaaaaaa
aisee, unajua maana ya kuendesha biashara na ikashamiri miaka zaidi ya 5 bila kuyumba...
katafute hoja nyingine mkuu..
Umasikini umewadumaza akili, mnamuamini tajiri asie na kitu kichwani, kuliko masikini mwenye kitu kichwani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom