Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.
Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.
Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.
Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.
So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.
So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.
Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]