DG Wa Fcc Anatumika Kuisaidia Team Ya Simba Kuhusu Mkataba Wa TFF na GSM.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
 
Ahsante kwa taarifa kiongozi hawa mambumbumbu wanaharibu sana mpira we nchi takataka hawa
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Una uhakika Erio ni shabiki wa Simba
Unatafuta mileage kwa uongo
 
Ukianza kuangalia kwa mtazamo huo huwezi kua fair katika maoni yako. Kua Simba au Yanga hakufanyi mtu aache kutekeleza majukumu yake mengine ya kiserikali bila uonevu au upendeleo

Na kule CAS mlikoshindwa rufaa ya Morison nani alikua ni mwanachama wa Simba kwenye ile kamati?

Mkataba wa GSM na TFF una mgongano wa ki maslahi wa moja kwamoja na haufai. Wale jamaa wame take advantage ya njaa kwa vilabu vyetu wakapitisha mambo yao. Hilo limewakwama shingoni mkuu, mlicheuwe tu🤣
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Una tatizo kichwani wewe utopolo.kwahiyo ulitaka huko fcc wote wawe Yanga ndipo ujue fcc watatenda haki? Morisson aliwabwaga kule Cas . Je , Cas nayo inaongozwa na simba?
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Ule mkataba wa ajabu hauna faida hata kidogo kwa tff na bodi ya ligi hawana hata mia pale watakayopata
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Ili haki itendeke unataka wote wawe yanga ? Ndio haki itatendeka eti mzamini wa ligi unakuta katinga jezi ya uto huo udhamin au takataka mdhamin anatoa ahadi kua lazma yanga ibebe ubingwa afu hapo hapo anataka kudhamin lig uliona wapi huo utopolo
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Jinga kabisa wewe GSM azamini Mshindani wa Simba ambaye anagombania ligi ili awe wa kwanza na kubeba ubingwa hafu GSM azamini ligi
 
Ukianza kuangalia kwa mtazamo huo huwezi kua fair katika maoni yako. Kua Simba au Yanga hakufanyi mtu aache kutekeleza majukumu yake mengine ya kiserikali bila uonevu au upendeleo

Na kule CAS mlikoshindwa rufaa ya Morison nani alikua ni mwanachama wa Simba kwenye ile kamati?

Mkataba wa GSM na TFF una mgongano wa ki maslahi wa moja kwamoja na haufai. Wale jamaa wame take advantage ya njaa kwa vilabu vyetu wakapitisha mambo yao. Hilo limewakwama shingoni mkuu, mlicheuwe tu[emoji1787]
Wewe ni erio?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Siku likifika jambo huko fifa mtasema tunajua dewj anashinda kule na raisi wa fifa. Uto bwana nyani nyani tu
 
Back
Top Bottom