DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

Jamaa ameamua kuondoka nae akatalii huko
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
 
Niliwah kumuona Mtukula wakati JPM ana ziara Kagera anaenda kuweka na kuzindua jiwe la msingi la bomba la mafuta Uganda... nilishangaa sana ila it seems kwa utawala huu wa awamu ya tano popote pale alipo JPM mkuu wa TISS yupo karibu....nashindwa kuelewa maana yake ni nini...
 
Mkuu usingejua panadol ni dawa ya kutuliza maumivu ya kichwa ungekuwa wapi leo?
Aisee Mambo mengine kujaza kichwani Ni Kama kuchoshana tu yaani uchafu uchafu..yasiyokuhusu achana nayo yatakuumiza Sana kichwa
 
Back
Top Bottom