DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
Kichaa akipewa rungu ..........................,tatizo letu sisi unaacha kuleta mada za maana unaingilia protocally za watu.
 
Watu walishaishiwa hoja muda mrefu!
Ndiyo maana si rahisi hawa watu kuchukua nchi. Miaka mi nne na nusu busy kumsakama JIWE mara uchaguzi umefika wakishindwa TUMEIBIWA TUMEIBIWA hata kama wameshindwa kiukweli.

Pro Lumumba aliwaambia huko kulia tumeibiwa ama kufikiri wa ulaya watatusaidia bila kujiokoa wenyewe tutapoteza muda tu
 
Historia ya kweli kuhusu Diktekta Idd Amin Dada ni kuwa aliamua kila akipanda ndege au helikopta ya jeshi , serikali au kiraia lazima aongozane na injia mkuu wa ndege za kijeshi, rubani mbobevu wa jeshi, mkuu wa wasiojulikana n.k ili ajihakikishie usalama wake ikiwemo chombo cha angani anachopanda.

Hivyo hii ya JPM itakuwa ktk muktadha huo huo kujihakikishia usalama na uwezo wa kuwadhibiti wamuhakikishie usalama popote alipo.
 
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
Sijui DG ni nani. Lakini ni kawaida katika awamu zote DG kusafiri na Rais.
 
Back
Top Bottom