DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

Niliwah kumuona Mtukula wakati JPM ana ziara Kagera anaenda kuweka na kuzindua jiwe la msingi la bomba la mafuta Uganda... nilishangaa sana ila it seems kwa utawala huu wa awamu ya tano popote pale alipo JPM mkuu wa TISS yupo karibu....nashindwa kuelewa maana yake ni nini...
Mtashangaa sana maana Raisi amekataa kufanya kazi kama viongozi mlio wazoea. Kila afanyalo ni ubunifu wake mwenyewe. Keep it up raisi wetu
 
Katika ziara ya Rais kuna briefing meetings Mara kwa Mara. Hivyo basi ni muhimu delegate (ujumbe) wake ushibe watu muhimu katika maamuzi yanayohusu nchi. Lakini pia M. Francis Kapilimba ni mtaalamu nguli, mbobezi, mbabe wa maswala ya computer ambayo ni muhimu sana na wanatumia sana kwa ulinzi wa Rais wa sasa. Kuweni positive sometimes.
 
Aisee Mambo mengine kujaza kichwani Ni Kama kuchoshana tu yaani uchafu uchafu..yasiyokuhusu achana nayo yatakuumiza Sana kichwa
Mbona unawatisha watu wa mkoa wa Singida mambo ya kizamani hayo.
 
Mzee Fanya yanayokuhusu mengine acha hayakuhusu. Ziara za raisi huwa na mambo mengi na ajenda zao zingine siri kwahiyo kila anayeondoka naye kuna umuhimu wake
 
Economic Intel kwamba anaenda kucheki fursa za uwekezaji Nchini kwao na uwekezwaji Nchini kwetu so ni Jambo zuri kuongozana nae
 
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
Bwana mkubwa kiingereza hajui na busara ya kawaida ya uongozi pia hana. Kwa kweli ikulu imebakwa!!!
 
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
Sasa hivi ya ngoswe mwachie ngoswe ndugu yangu. Lakini kumbuka na per diem zinazibaziba mapengo ya matokeo ya ujenzi wa viwanda
 
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
According to Tanzania security and intelligence Act ya 1996, kazi moja kubwa nyingne ya TISS nikusimamia uchumi na kuulinda uchumi wa nchi yetu na kuhakikisha unakua pia TISS huishauri serikali juu ya mwenendo wa uchumi wa nchi yetu. DG wa TISS kutembea na raisi kwene ziara za kichumi ni moja ya kazi yake pia kama tu ambavo anakuwepo waziri wa fedha na uchumi kwene hizi ziara.. Hata miaka ya nyuma ilikuwa hivo sema ma DG zamani walikua hawajulikani sana hadharani na pia ufwatiliaji wa watu kwene maswala haya yalikua ni madogo sana, ila ni jambo la kawaida sana sio kama watu walivokariri kuwa kazi ya TISS ni kulinda Viongozi tu, no they play a big role in National economic
 
Back
Top Bottom