DG wa Tiss kuambatana na Rais nje ya nchi imekaaje?

Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.

Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.

Kitaalam imekaaje wakuu?
Samahani ,wewe mleta uzi ni jinsia ya KE au ME?[emoji125]
 
Taarifa zote kuhusu hali ya nchi zinapatikana kwa ofisa huyo ,kimpangilio ,tena live,si kwa kupigiana simu
 
Yeye na mkuu wa majeshi sasa hivi kila ziara ya mkuu lazima wawepo!...ajabu sana!
 

Boss sasa unashindwa kuelewa nn, haujui kama yule ni mkuu wa inchi? Sasa mkuu wa idara flan kuwa nae kwenye ziara kuna shida gani? Pale kila mtu anatimiza majukumu yake
 
Nchi alizozitembelea ni za SADC,Na katika SADC wanashirikiana sana kwa mambo ya usalama, labda ni mikakati ya nchi hizo South Africa,Namibia,Zimbabwe waongeze kasi ya kulipa mchango wetu tuliojitoa kushirikiana nao hadi wakapata uhuru. Hakuna cha Bure kwa Magufuli labda kama kuna kigogo aliekuwa anavuta kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…