Kichaa akipewa rungu ..........................,tatizo letu sisi unaacha kuleta mada za maana unaingilia protocally za watu.Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.
Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.
Kitaalam imekaaje wakuu?
That is the reason as per shallow minded nyumbusReason behind is insecucrity.....
Ndiyo maana si rahisi hawa watu kuchukua nchi. Miaka mi nne na nusu busy kumsakama JIWE mara uchaguzi umefika wakishindwa TUMEIBIWA TUMEIBIWA hata kama wameshindwa kiukweli.Watu walishaishiwa hoja muda mrefu!
Chai kavu inamuhusu MK keshoChochea kuni mihogo iive mkuu otherwise kesho unakunywa Chai kavu....
mkuu wa TISS, mkuu wa majeshi lazima aende nao akiwaacha wanaweza fanya hujuma na kupindua nchi
Mbona mama misambano haendi nao? Tukubaliane baba jeska alikuwa mshambamkuu wa TISS, mkuu wa majeshi lazima aende nao akiwaacha wanaweza fanya hujuma na kupindua nchi
Sijui DG ni nani. Lakini ni kawaida katika awamu zote DG kusafiri na Rais.Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.
Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.
Kitaalam imekaaje wakuu?