Katafute pesa acha kudeka na kulialiaHawa mataahira hawatakuelewa adui yao Magufuli tu kila baya la mama Samia wanamsingizia Magufuli! Umeme ukikatika wanasema Magufuli alikata miti milioni 2 maji yakikata vilele wanaongea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute pesa acha kudeka na kulialiaHawa mataahira hawatakuelewa adui yao Magufuli tu kila baya la mama Samia wanamsingizia Magufuli! Umeme ukikatika wanasema Magufuli alikata miti milioni 2 maji yakikata vilele wanaongea!
Tumia umoja au sema sisi sukuma gang bado tunakukumbuka, maana hatuna ulaji ma hali ni ngumu sana kwa upande wetuUncle Magu TUNAKUKUMBUKA!!!
Lile popoma pungazeze la pale mbele ya mataa ya msimbazi kushotoKuna watu wanajitoa ufahamu.
Hawawezi kuelewa hao, yaani shida ni kuwa bado wako kwenye maombolezoFlight from Tanzania ndo dhahabu zimetoka Tanzania? Hiyo ndege haija connect mahala hao abiria wakapanda?
Huu upumbavu unaotaka kutulisha humu ndani ni wakijinga kupita ujinga walio fanya hawa walio wapitisha hapa wakaenda kukamatiwa huko ni bora unyamaze tu tunaweza ona sio mjinga kuliko kuendelea kujijaladia upumbavu[emoji2959][emoji2959][emoji2959] mkubwaMzee utaratibu wa India huujui ndio maana unahemka.
Unaweza ukaindokoa na Dhahabu hapa Nchini kwa kufuata utararatibu lakini ukaenda Nchi nyingine ukafeli kudeclaire Customs zinakamatwa.
ndo maana JPM alikuwa anawafilisi tu kwa sababu alijua fika hawa watu wamejipatia utajiri kwa ufisadi na huu ndo ukweli wenyewe.sasa hivi kila mtu anajilia tu kulingana na aliposimama, Sasa serikali ipo full corrupt kuliko wakati mwingine wowote.
Kuna wakati kuna watu inabidi wafe, waumizwe au hata kuwa jela ili wengi wapone.
Nimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.
Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
Povu la nini?Huu upumbavu unaotaka kutulisha humu ndani ni wakijinga kupita ujinga walio fanya hawa walio wapitisha hapa wakaenda kukamatiwa huko ni bora unyamaze tu tunaweza ona sio mjinga kuliko kuendelea kujijaladia upumbavu[emoji2959][emoji2959][emoji2959] mkubwa
Dawa imesha kuingia sasa tulia upone taratibu! Zingatia kupumzika na kunywa maji mengi![emoji1635]Povu la nini?
Flight ndiyo inatoka Tanzania lakini kutokana na hayo maelezo kuwa ni 'UAE made gold bars' kwa maoni yangu haimaanishi kuwa ni lazima hiyo dhahabu iwe inatoka Tanzania. Ina maana tayari imepitia hapo Qatar na imekuwa processed, inaweza kuwa inatoka hata Congo huko ambako hakuna utawala unaoeleweka.Flight from Tanzania ndo dhahabu zimetoka Tanzania? Hiyo ndege haija connect mahala hao abiria wakapanda?
Wanatuumiza sanaOn unemployment - pay
Ili ufanyeje ?Thibitisha.
Hakuna kitu inaitwa S.gang,Tumia umoja au sema sisi sukuma gang bado tunakukumbuka, maana hatuna ulaji ma hali ni ngumu sana kwa upande wetu
Basi hizo ni Porojo.Ili ufanyeje ?
Kila mmoja alibeba kilo 16! Kilo 16 kuzibeba lazima mikogo ya mwendo wako itatia mashaka.Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.
Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
![]()
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com
![]()
Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Baki hivyo hivyo na zibaki kuwa porojoBasi hizo ni Porojo.
Haha i s e k o uBaki hivyo hivyo na zibaki kuwa porojo
Hanya wagholaHaha i s e k o u