Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Hawa mataahira hawatakuelewa adui yao Magufuli tu kila baya la mama Samia wanamsingizia Magufuli! Umeme ukikatika wanasema Magufuli alikata miti milioni 2 maji yakikata vilele wanaongea!
Katafute pesa acha kudeka na kulialia
 
Unafikiri Wahindi wamenunua majumba [emoji631], [emoji1063] na [emoji636] kwa kuuza kachori tangu miaka ya Nyerere?

Hiyo ndio biashara yao kubwa miaka yote
Ukisikia ni tajiri mkubwa anaongoza kwa waswahili wanasema ametoa kafara ndugu mara wanae
Ila kwa ujinga wetu huwa tunakimbilia KAFARA tu na uchawi

Mmerogwa nyie mtaamka mna madimbwi ya kuogelea na watoto wanafia humo bado mnakuja na akili zilezile ooh kaliwa na chunusi

Mtaamka lini?
Hawakuanza leo kubeba dhahabu na almasi
Hapo dili limesanuka tu kwa safari hii ila wanapitisha sana

Libya walikuwa na 144 ton za dhahabu reserves yao
 
Mzee utaratibu wa India huujui ndio maana unahemka.

Unaweza ukaindokoa na Dhahabu hapa Nchini kwa kufuata utararatibu lakini ukaenda Nchi nyingine ukafeli kudeclaire Customs zinakamatwa.
Huu upumbavu unaotaka kutulisha humu ndani ni wakijinga kupita ujinga walio fanya hawa walio wapitisha hapa wakaenda kukamatiwa huko ni bora unyamaze tu tunaweza ona sio mjinga kuliko kuendelea kujijaladia upumbavu[emoji2959][emoji2959][emoji2959] mkubwa
 
sasa hivi kila mtu anajilia tu kulingana na aliposimama, Sasa serikali ipo full corrupt kuliko wakati mwingine wowote.

Kuna wakati kuna watu inabidi wafe, waumizwe au hata kuwa jela ili wengi wapone.
ndo maana JPM alikuwa anawafilisi tu kwa sababu alijua fika hawa watu wamejipatia utajiri kwa ufisadi na huu ndo ukweli wenyewe.
 
Nimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.

Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
 

Attachments

  • IMG-20221114-WA0017.jpg
    IMG-20221114-WA0017.jpg
    108.7 KB · Views: 2
Huu upumbavu unaotaka kutulisha humu ndani ni wakijinga kupita ujinga walio fanya hawa walio wapitisha hapa wakaenda kukamatiwa huko ni bora unyamaze tu tunaweza ona sio mjinga kuliko kuendelea kujijaladia upumbavu[emoji2959][emoji2959][emoji2959] mkubwa
Povu la nini?
 
Flight from Tanzania ndo dhahabu zimetoka Tanzania? Hiyo ndege haija connect mahala hao abiria wakapanda?
Flight ndiyo inatoka Tanzania lakini kutokana na hayo maelezo kuwa ni 'UAE made gold bars' kwa maoni yangu haimaanishi kuwa ni lazima hiyo dhahabu iwe inatoka Tanzania. Ina maana tayari imepitia hapo Qatar na imekuwa processed, inaweza kuwa inatoka hata Congo huko ambako hakuna utawala unaoeleweka.
 
Tumia umoja au sema sisi sukuma gang bado tunakukumbuka, maana hatuna ulaji ma hali ni ngumu sana kwa upande wetu
Hakuna kitu inaitwa S.gang,

Umewekewa maneno usojua hata maana yake nawe unaenda ukiyasema na kurudia kama KASUKU!!!!
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Kila mmoja alibeba kilo 16! Kilo 16 kuzibeba lazima mikogo ya mwendo wako itatia mashaka.
 
Back
Top Bottom