Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
W e m b w a i n o o[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hanya waghola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
W e m b w a i n o o[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hanya waghola
Nani anayelalama au kulialia ambaye si Sukuma gang?Hakuna kitu inaitwa S.gang,
Umewekewa maneno usojua hata maana yake nawe unaenda ukiyasema na kurudia kama KASUKU!!!!
Mkuu toa babu weka Bibi itasound goodBabu jinga inama ufikiri, mali yako inaliwaa mali yako. Inaliwa
Ila awamu hii wapigaji ni wengi na wanapewa ulinzi na mamlaka husikaDhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.
Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
![]()
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com
![]()
Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Pigia mstari kuhusu m Sudanese aliyecheza mchezo Doha .The specially designed belts with UAE-made gold bars concealed inside were reportedly handed over to the passengers by a person of Sudanese nationality at Doha airport .."
Wanaponyesha majeraha yao mkuuSasa hivi kila mtu anajilia tu kulingana na aliposimama, Sasa serikali ipo full corrupt kuliko wakati mwingine wowote.
Kuna wakati kuna watu inabidi wafe, waumizwe au hata kuwa jela ili wengi wapone.
Nimekwambia hakuna kitu inaitwa sgang.Nani anayelalama au kulialia ambaye si Sukuma gang?
Alafu kunawatu wanasema magufuli hakufaa.. Hii serikali inawabana wanyonge kuliko serikali yoyote iliyowahi kutawala Tanzania.. Yani ni mwaka mmoja tuu lakini sio poa mpaka tufike 2025 tutakuwa tumeibiwa Sana labda tufanye mabadiliko kablaDhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.
Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
![]()
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com
![]()
Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Haya uliyoyasema ni kweli, lakini umoja wa Watanzania ulivunjika pale Jiwe aliposhika madaraka na kuanza kutugawa huku akipendelea kanda ya ziwa na kuumiza kanda zingine. Leo hayupo Suka gang wanapiga kelele kwenye kila kitu na wakitaka Watanzania tuungane ili hali kipindi chao walikuwa wanajiona bora sana na spesho. Kumbuka maneno ya Bashite kuwa yeye ndiye Mtanzania anayekula raha kuliko wote, mkumbuke Saambaya, Gambo, Bushiri, sasa leo unataka kusema Tanzania ni ya wote so tuungane na watu kama hao?Nimekwambia hakuna kitu inaitwa sgang.
Nchi ni moja TANZANIA,
1. wanaokatiwa umeme ni wote,
2. wanaouziwa mbolea Bei GHALI ni wote,
3.wanaobebeshwa mzigo wa madeni ni wote,
4.Wanaolilia mfumo kandamizi wa Vyama vya siasa ni wote,
5.Wanaodai mamlaka ya Tanganyika huru ni wote. Nk nk, nk .
Anayeanzisha hizo blocks Nia yake ni kuwagawa Watanzania ktk makundi Ili awatawale kirahsi.
Tafakari na STUKA.
Changamoto hizo zilianza kitambo Hasa Awamu ya 4.Haya uliyoyasema ni kweli, lakini umoja wa Watanzania ulivunjika pale Jiwe aliposhika madaraka na kuanza kutugawa huku akipendelea kanda ya ziwa na kuumiza kanda zingine. Leo hayupo Suka gang wanapiga kelele kwenye kila kitu na wakitaka Watanzania tuungane ili hali kipindi chao walikuwa wanajiona bora sana na spesho. Kumbuka maneno ya Bashite kuwa yeye ndiye Mtanzania anayekula raha kuliko wote, mkumbuke Saambaya, Gambo, Bushiri, sasa leo unataka kusema Tanzania ni ya wote so tuungane na watu kama hao?
Hiyo ndiyo point mkuuChangamoto hizo zilianza kitambo Hasa Awamu ya 4.
Hujiulizi kwann TABORA haikuteuliwa iwe mhimili wa viwanda, Badala yake ikachaguliwa PWANI, ndo viwanda vyote vinajengwa huko.
Bandari ya Bagamoyo inapewa promo Ili ifaidishe wakwere.
Tatizo letu ni KATIBA mbovu, inayompa aliyepo mamlaka kupendelea atokapo.
Hivi sasa aliyepo anakopa akajenge Visiwani.
Mamlaka ya Rais yapunguzwe.
Usisahau tulikotoka mkuu 'Jidu'.Mama Tanzania tumekwisha.
Did you have any lunch friend?....my third year now&wed[emoji24]
Kwa kweli hii wanton looting inakera sana, utafikiri vyombo vyetu viko likizo.Usisahau tulikotoka mkuu 'Jidu'.
Mambo haya yalikuwa ya kawaida sana wakati fulani. Sasa hivi yanajirudia tu!
Maana yake ni kwamba tumerudi kule kule tulikowahi kuwa nyakati za "Kasi Mpya".
Nimekuja kutambua kwamba wewe ni mtu 'bogus' sana.Wapi hiyo habari imesema dhahabu zimetoka Tanzania?
Ninakumbukumbu nzuri sana, wakati ule kabla ya Magufuli kuonyesha upande wake wa pili ambao ulinitoa fahamu.Kwa kweli hii wanton looting inakera sana, utafikiri vyombo vyetu viko likizo.
Watumishi wa serikali wanapitisha imagine 61 KILOGRAMS za dhahabu!
In the first case, customs department seized 53 kg of gold valued at Rs 28.17 crore from four passengers of Indian nationality. The passenger landed at Mumbai airport in a flight from Tanzania. They were smuggling gold in the form of one Kg bars ingeniously concealed in specially designed waist belts with multiple pockets.Nimefungua hakuna sehemu wamesema dhahabu imetoka Tanzania