Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Hakuna kitu inaitwa S.gang,

Umewekewa maneno usojua hata maana yake nawe unaenda ukiyasema na kurudia kama KASUKU!!!!
Nani anayelalama au kulialia ambaye si Sukuma gang?
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Ila awamu hii wapigaji ni wengi na wanapewa ulinzi na mamlaka husika
 
The specially designed belts with UAE-made gold bars concealed inside were reportedly handed over to the passengers by a person of Sudanese nationality at Doha airport .."
Pigia mstari kuhusu m Sudanese aliyecheza mchezo Doha .
 
Sasa hivi kila mtu anajilia tu kulingana na aliposimama, Sasa serikali ipo full corrupt kuliko wakati mwingine wowote.

Kuna wakati kuna watu inabidi wafe, waumizwe au hata kuwa jela ili wengi wapone.
Wanaponyesha majeraha yao mkuu
 
Nani anayelalama au kulialia ambaye si Sukuma gang?
Nimekwambia hakuna kitu inaitwa sgang.

Nchi ni moja TANZANIA,

1. wanaokatiwa umeme ni wote,

2. wanaouziwa mbolea Bei GHALI ni wote,

3.wanaobebeshwa mzigo wa madeni ni wote,

4.Wanaolilia mfumo kandamizi wa Vyama vya siasa ni wote,

5.Wanaodai mamlaka ya Tanganyika huru ni wote. Nk nk, nk .

Anayeanzisha hizo blocks Nia yake ni kuwagawa Watanzania ktk makundi Ili awatawale kirahsi.

Tafakari na STUKA.
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Alafu kunawatu wanasema magufuli hakufaa.. Hii serikali inawabana wanyonge kuliko serikali yoyote iliyowahi kutawala Tanzania.. Yani ni mwaka mmoja tuu lakini sio poa mpaka tufike 2025 tutakuwa tumeibiwa Sana labda tufanye mabadiliko kabla
 
Nimekwambia hakuna kitu inaitwa sgang.

Nchi ni moja TANZANIA,

1. wanaokatiwa umeme ni wote,

2. wanaouziwa mbolea Bei GHALI ni wote,

3.wanaobebeshwa mzigo wa madeni ni wote,

4.Wanaolilia mfumo kandamizi wa Vyama vya siasa ni wote,

5.Wanaodai mamlaka ya Tanganyika huru ni wote. Nk nk, nk .

Anayeanzisha hizo blocks Nia yake ni kuwagawa Watanzania ktk makundi Ili awatawale kirahsi.

Tafakari na STUKA.
Haya uliyoyasema ni kweli, lakini umoja wa Watanzania ulivunjika pale Jiwe aliposhika madaraka na kuanza kutugawa huku akipendelea kanda ya ziwa na kuumiza kanda zingine. Leo hayupo Suka gang wanapiga kelele kwenye kila kitu na wakitaka Watanzania tuungane ili hali kipindi chao walikuwa wanajiona bora sana na spesho. Kumbuka maneno ya Bashite kuwa yeye ndiye Mtanzania anayekula raha kuliko wote, mkumbuke Saambaya, Gambo, Bushiri, sasa leo unataka kusema Tanzania ni ya wote so tuungane na watu kama hao?
 
Raia wanne wenye asili ya Asia waliokuwa wakisafiri kutoka Tanzania kwenda nchini India wamekamatwa na dhahabu zenye uzito wa kilo 53 katika uwanja wa ndege jijini Mumbai.

Watuhumiwa hao wamekamatwa na dhahabu hizo wakiwa wamezizificha kwenye mikanda yenye mifuko maalum yenye kuhifadhi kilo moja kila mfuko zinazokadiliwa kuwa na thamani ya kiasi cha shilingi bilioni nane za kitanzania.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na maafisa forodha wa kituo cha uwanja huo walikamata kilo nyingine nane za dhabu walizokuwa wamezificha abiria watatu waliokuwa wakitokea Dubai na kufanya jumla ya kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya shilingi bilioni 9 za kitanzani.

Maafisa hao walinukuliwa wakisema tukio hilo ni kubwa kutokea kwa mwaka huu ndani ya siku moja.

Source:NIPASHE
 
Haya uliyoyasema ni kweli, lakini umoja wa Watanzania ulivunjika pale Jiwe aliposhika madaraka na kuanza kutugawa huku akipendelea kanda ya ziwa na kuumiza kanda zingine. Leo hayupo Suka gang wanapiga kelele kwenye kila kitu na wakitaka Watanzania tuungane ili hali kipindi chao walikuwa wanajiona bora sana na spesho. Kumbuka maneno ya Bashite kuwa yeye ndiye Mtanzania anayekula raha kuliko wote, mkumbuke Saambaya, Gambo, Bushiri, sasa leo unataka kusema Tanzania ni ya wote so tuungane na watu kama hao?
Changamoto hizo zilianza kitambo Hasa Awamu ya 4.

Hujiulizi kwann TABORA haikuteuliwa iwe mhimili wa viwanda, Badala yake ikachaguliwa PWANI, ndo viwanda vyote vinajengwa huko.

Bandari ya Bagamoyo inapewa promo Ili ifaidishe wakwere.

Tatizo letu ni KATIBA mbovu, inayompa aliyepo mamlaka kupendelea atokapo.

Hivi sasa aliyepo anakopa akajenge Visiwani.

Mamlaka ya Rais yapunguzwe.
 
Hiyo ndiyo point mkuu
 
Usisahau tulikotoka mkuu 'Jidu'.

Mambo haya yalikuwa ya kawaida sana wakati fulani. Sasa hivi yanajirudia tu!

Maana yake ni kwamba tumerudi kule kule tulikowahi kuwa nyakati za "Kasi Mpya".
Kwa kweli hii wanton looting inakera sana, utafikiri vyombo vyetu viko likizo.
Watumishi wa serikali wanapitisha imagine 61 KILOGRAMS za dhahabu!
 
Wapi hiyo habari imesema dhahabu zimetoka Tanzania?
Nimekuja kutambua kwamba wewe ni mtu 'bogus' sana.
Najua maana ya swali lako hilo, lakini ngoja nikuwekee yaliyoandikwa kwenye habari hiyo ili uzidi kuvimba shingo kwa upumbavu tu.

"In the first case, customs department seized 53 kg of gold values at Rs 28.17 croe from four passengers of Indian nationality. The passengers landed at Mumbai airport in a flight from Tanzania. They were smuggling gold in the form of one kg bars ingeneously concealed specially designed waistbands with multiple pockets.

The specially designed belts with UAE made gold bars concealed inside were reportedly handed over to the passengers by a person of Sudanese nationality at Doha airport during the transit time."

Sasa basi, baada ya kuisoma taarifa hiyo, ngoja na mimi niunge mkono kuhoji kwako unakosema hakuna popote inaposema mali hiyo imetoka Tanzania.

Pili, nikukumbushe pia kwamba, ni juzi juzi tu tumefanya ziara muhimu huko Arabuni, na matokeo yake tukafahamishwa kwamba ziara hiyo ilizaa matunga makubwa ya uwekezaji hapa Tanzania. Bila shaka, baadhi ya matunda ya uwekezaji huo ni hii mikanda maalum ya kusafirishia dhahabu yetu.

Tatu, inaonyesha wewe mwenyewe ni muumini mkubwa fikra za ulaji kufuatana na "urefu wa kamba" ya malisho unapolishwa mwenyewe hapo ulipo.

Tumetoka kwenye "Ari Mpya , na Kasi Mpya", hadi sasa tupo kwenye ulaji kufuatana na "urefu wa kamba". Hawa wasiokuwa na kamba watakula wapi?
 
Kwa kweli hii wanton looting inakera sana, utafikiri vyombo vyetu viko likizo.
Watumishi wa serikali wanapitisha imagine 61 KILOGRAMS za dhahabu!
Ninakumbukumbu nzuri sana, wakati ule kabla ya Magufuli kuonyesha upande wake wa pili ambao ulinitoa fahamu.
Siku aliyopita uwanja wa ndege na kwenda kuzozana na hawa watu wa uwanja wa ndege kuhusu madudu kama haya. Picha hiyo hadi sasa ninayo kichwani.
 
Nimefungua hakuna sehemu wamesema dhahabu imetoka Tanzania
In the first case, customs department seized 53 kg of gold valued at Rs 28.17 crore from four passengers of Indian nationality. The passenger landed at Mumbai airport in a flight from Tanzania. They were smuggling gold in the form of one Kg bars ingeniously concealed in specially designed waist belts with multiple pockets.

Read more at:
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
 
Back
Top Bottom