Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa amebeba. Motsepe anasema suala hilo lilitatuliwa haraka na Burna Boy akaachiwa huru.