Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina.

Dhahabu ni fedha ya kigeni.
Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo.

Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini.

Inaitwa thinking out of the box.
 
dhahabu , tanzanite, chuma , copper tunavyo hivyo vyote na vipo ndani ya nchi yetu.

lakini ukweli mchungu sio mali yetu hivyo hatuwezi kutumia kitu ambacho sio chetu.

"japo kihistoria waliambiwa ile nyumba na kile choo ni cha kwao lakini hawajawahi kukitumia " Mrisho mpoto ...SIZONJE
 
View attachment 2431286

Waache kugawana wakaitumie kulipa madeni kweli awamu hii ya kulamba asali?
You must be kidding.!
 
Serikali iliwahi jaribu kununua dhahabu. Mtu wa manunuzi anakula dili na muuzaji wanaiuzia serikali gold fake. Ilipiga hasara. Lakini kinachozungumzwa hapo ni jambo la msingi sana. Tunaweza nunua baadhi ya vitu kutoka nje kwa dhahabu.
 
dhahabu , tanzanite, chuma , copper tunavyo hivyo vyote na vipo ndani ya nchi yetu.

lakini ukweli mchungu sio mali yetu hivyo hatuwezi kutumia kitu ambacho sio chetu.

"japo kihistoria waliambiwa ile nyumba na kile choo ni cha kwao lakini hawajawahi kukitumia " Mrisho mpoto ...SIZONJE
Mjomba Mrisho Mpoto - SIZONJE. !! Hao watu sijui huwa wanajisikiaje wanapojua kwamba watu wanajua mambo mengi ya hovyo yaliyofanywa katika Nchi !! SIZONJE !!
 
Haya majizi ya machichiemu tutayashughulikia. Bahati nzuri mengi yao yaliyoko kwa system yatakufa si kitambo maana umri umeshayatupa mkono na ni maovu pia ni magonjwa na kwa Mungu hayana faida yeyote hadi afkirie kuyabakiza duniani atayafyekelea mbali. Cheki kuanzia mwakani yatakavyopukutishwa
 
The only way Tanzania kuendelea mbele ni kuliondoa hili chama linaitwa CCM, hakuna njia nyingine ya kuondokana na umaskini na ujinga bila kuiondoa CCM, imagine tuna gas ya kuweza kuuza nje na kuwasha umeme kwa zaidi ya miaka 100 ijayo lakini hatuna umeme na uliopo ni wa mgawo and very expensive
 
Aliyewaambia dhahabu ni yenu nani?

Tanzania haina dhahabu, Dhahabu ni ya wawekezaji
Hata Ghana dhabu sio yao ila wamepitisha sheria ya kulazimisha makampuni kuuza 20% ya Dhahabu yao waliyo zalisha kwa Benki kuu kwa Bei ya soko kwa hela za ndani yani Cedi (Kwetu itakuwa TZS). Hata sisi tunaweza swali ni je tunazo hizo hela za kununua? Na uaminifu upo chini ya CCM hi hii ninayo ijua....tutakuta ghala la dhabu liko tupu.
 
Tanzania Serikali ilianza kununua Dhahabu wakati wa Awamu ya Pili (Mwinyi)

Hatima yake Watanzania "Wazalendo" wakaanza kupondaponda Makufuli ya VIRO na kwenda kuiuzia Serikali na kuitia hasara kubwa ya kutisha.

Leo hii sisi tunaojifanya Wazalendo na kulaumu laumu tukipata fursa tunaiibia Nchi yetu bila aibu.

Sisi tulianza kabla ya Ghana kwa wale wanaokumbuka.
 
dhahabu , tanzanite, chuma , copper tunavyo hivyo vyote na vipo ndani ya nchi yetu.

lakini ukweli mchungu sio mali yetu hivyo hatuwezi kutumia kitu ambacho sio chetu.

"japo kihistoria waliambiwa ile nyumba na kile choo ni cha kwao lakini hawajawahi kukitumia " Mrisho mpoto ...SIZONJE
Aiseee.
 
Back
Top Bottom