Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Pesa zetu Shillings tunazo hata trillions tukitaka si tunachapisha tuu, tatizo ni hao watu wanaitwa CCM watakomba kila kitu na hakuna mtu atajua dhahabu zimeenda wapi kama gas ya Mtwara tuuHata Ghana dhabu sio yao ila wamepitisha sheria ya kulazimisha makampuni kuuza 20% ya Dhahabu yao waliyo zalisha kwa Benki kuu kwa Bei ya soko kwa hela za ndani yani Cedi (Kwetu itakuwa TZS). Hata sisi tunaweza swali ni je tunazo hizo hela za kununua? Na uaminifu upo chini ya CCM hi hii ninayo ijua....tutakuta ghala la dhabu liko tupu.