Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

Tatizo watanzania wataogopa sanctions kutokana na hilo. Na japokuwa BOT ina gold reserves sijui kwa nini hawatumii hizo kulipa madeni zaidi ya kununulia noti za fedha.
 
View attachment 2431286

Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina.

Dhahabu ni fedha ya kigeni.
Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo.

Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini.

Inaitwa thinking out of the box.
Una HAKIKA mwigu and company yake, wanaweza kutunza dhahabu kwenye KIBUBU?
 
Hilo litawezeka ikiwa Jinamizi linaloitwa CCM litakatiliwa mbali.
 
Haya majizi ya machichiemu tutayashughulikia. Bahati nzuri mengi yao yaliyoko kwa system yatakufa si kitambo maana umri umeshayatupa mkono na ni maovu pia ni magonjwa na kwa Mungu hayana faida yeyote hadi afkirie kuyabakiza duniani atayafyekelea mbali. Cheki kuanzia mwakani yatakavyopukutishwa
Tuseme inshallah na iwe hivyo,huwa nachukia sana kuyaona majitu ya ccm yakijieleza mahali popote yaani unaona kabisa ni useless,shit ,mashudu matupu sema tu ndio vile katiba ya ovyo inawalinda
 
Haya majizi ya machichiemu tutayashughulikia. Bahati nzuri mengi yao yaliyoko kwa system yatakufa si kitambo maana umri umeshayatupa mkono na ni maovu pia ni magonjwa na kwa Mungu hayana faida yeyote hadi afkirie kuyabakiza duniani atayafyekelea mbali. Cheki kuanzia mwakani yatakavyopukutishwa
Duh !!
 
Huyo Raisi wa Ghana ni tapeli kama matapeli wengine tu beinya dhahabu iko linked kwenye thanani ya dollar .Hivyo dhahabu zake zitatathminishwa kwa kutumia dollar!!! Na bei za mafuta thamani yake hutathminishwa kwa dollar

Anachoongea ujinga mtupu kufurahisha waghana wajinga

Mafuta atanunua kwa dollar rate hata akitaka anunue kwa kutoa dhahabu
 
Yani ni ujinga watu waprint makaratasi wayaite dollars watupe halafu sisi tuwape dhahabu.
Kweli waafrika bado tunapewa vioo na kutoa almasi?
 
Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina.

Dhahabu ni fedha ya kigeni.
Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo.

Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini.

Inaitwa thinking out of the box.
Hebu nyanyua sauti huyo kiongozi aone kama hatafyekwa kama alivyofanyiwa Gaddafi.

Mmarekani hatakubali hata siku moja kuweka dhahabu itumike kama exchange currency atakukata kidomodomo kabla hujanyanyuka.
 
Tusiendekeze unyonge!
 
dhahabu , tanzanite, chuma , copper tunavyo hivyo vyote na vipo ndani ya nchi yetu.

lakini ukweli mchungu sio mali yetu hivyo hatuwezi kutumia kitu ambacho sio chetu.

"japo kihistoria waliambiwa ile nyumba na kile choo ni cha kwao lakini hawajawahi kukitumia " Mrisho mpoto ...SIZONJE
Ngoja aje cc jidu la mabambasi atarara nawewe mberee 🤣🤣🤣🤣
 
Huyo Raisi wa Ghana ni tapeli kama matapeli wengine tu beinya dhahabu iko linked kwenye thanani ya dollar .Hivyo dhahabu zake zitatathminishwa kwa kutumia dollar!!! Na bei za mafuta thamani yake hutathminishwa kwa dollar

Anachoongea ujinga mtupu kufurahisha waghana wajinga

Mafuta atanunua kwa dollar rate hata akitaka anunue kwa kutoa dhahabu
Huu ndio ujinga wa "wasomi" waliokaririshwa na kutofikiri nje ya boksi walilovishwa kichwani.

Sasa mkwa mfano tu:
Kama ounce moja ya gold ni $1,000
Halafu pipa moja la crude oil ni $100, kama mmekubaliana na mwenye mafuta kuwa anaweza kuchukua pipa 10 kwa ounce moja ya dhaghabu, kuna kosa gani?

Au waliovishwa degree za ukoka mpaka wapitishe hiyo gold ulaya na marekani zikaliwe kwa kupata baraka , halafu uruhusiwe kununua mafuta.
Huo ni unyonge wa kujtakia, na ndio maana naiunga mkono Nchi ya Ghana kwa kuona mbali.
 
Tusiendekeze unyonge!
Pale kwa marekani hakuna unyonge bali ni kutumia mabavu for their survival.

Wameona wakianza kuruhusu nchi zitumie exchange currency nyingine dola yao itayumba sana, kwa hivyo wanapigana na kutumia mabavu kwa hali yo yote ili mipango ya aina hiyo isiendelee.

Hata sasa hivi wanaiogopa BRICS kwa vile wameanza negotiations za kutaka kutumia currency ambayo siyo dola kwenye transactions zao.
 
Back
Top Bottom