Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sio akiba tu hata hesabu yake hatuna,Duh!!!!Ukute hata hivyo unavyovutaja kiuhalisia hatuna akiba yake. Mafisadi kila kona
Waache kugawana wakaitumie kulipa madeni kweli awamu hii ya kulamba asali?View attachment 2431286
Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina.
Dhahabu ni fedha ya kigeni.
Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo.
Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini.
Inaitwa thinking out of the box.
Waache kugawana wakaitumie kulipa madeni kweli awamu hii ya kulamba asali?
You must be kidding.!
Mjomba Mrisho Mpoto - SIZONJE. !! Hao watu sijui huwa wanajisikiaje wanapojua kwamba watu wanajua mambo mengi ya hovyo yaliyofanywa katika Nchi !! SIZONJE !!dhahabu , tanzanite, chuma , copper tunavyo hivyo vyote na vipo ndani ya nchi yetu.
lakini ukweli mchungu sio mali yetu hivyo hatuwezi kutumia kitu ambacho sio chetu.
"japo kihistoria waliambiwa ile nyumba na kile choo ni cha kwao lakini hawajawahi kukitumia " Mrisho mpoto ...SIZONJE
Huu ndio ukweli, wakitaka dhahabu wanunue kwa wawekezaji au waweke mitaji wachimbe kama wengine, hakuna bure dunia hiiAliyewaambia dhahabu ni yenu nani?
Tanzania haina dhahabu, Dhahabu ni ya wawekezaji
Hata Ghana dhabu sio yao ila wamepitisha sheria ya kulazimisha makampuni kuuza 20% ya Dhahabu yao waliyo zalisha kwa Benki kuu kwa Bei ya soko kwa hela za ndani yani Cedi (Kwetu itakuwa TZS). Hata sisi tunaweza swali ni je tunazo hizo hela za kununua? Na uaminifu upo chini ya CCM hi hii ninayo ijua....tutakuta ghala la dhabu liko tupu.Aliyewaambia dhahabu ni yenu nani?
Tanzania haina dhahabu, Dhahabu ni ya wawekezaji
Aiseee.dhahabu , tanzanite, chuma , copper tunavyo hivyo vyote na vipo ndani ya nchi yetu.
lakini ukweli mchungu sio mali yetu hivyo hatuwezi kutumia kitu ambacho sio chetu.
"japo kihistoria waliambiwa ile nyumba na kile choo ni cha kwao lakini hawajawahi kukitumia " Mrisho mpoto ...SIZONJE
Loliondo tayari na bonde la Usangu linanyemelewa.Wazee wa 10% washauza nchi, sema wazo lako ni zuri.