Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

Pesa zetu Shillings tunazo hata trillions tukitaka si tunachapisha tuu, tatizo ni hao watu wanaitwa CCM watakomba kila kitu na hakuna mtu atajua dhahabu zimeenda wapi kama gas ya Mtwara tuu
 
Tuna dhahabu? Ipi? Ninachojua ni kwamba chini kabisa kwenye baadhi ya maeneo ya ardhi yetu kuna dhahabu ambayo tumeshindwa kuichimba, na tumewapa ''wazungu'' wachimbe iwe yao, na sisi tuwatoze kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…