Dhambi 5 zisizoepukika hata kwa washika dini

Dhambi 5 zisizoepukika hata kwa washika dini

Dhuluma imenipitia kushoto!
Dhulma huanzia mbali kabisa utotoni.Unakula na wenzako halafu unamega matonge "manene" au kuchukua nyama harakaharaka kabla ya wenzako.Hiyo ni dhulma.Kumnyima mwenza wako mahaba bila sababu.Hiyo ni dhulma.Kumchapa mtoto kimakosa ni dhulma.Kutokusalimu wengine kwa kiburi tu ni dhulma.Kukataa kupisha wengine njiani ni dhulma.Kupewa kitu na kutosema asante ni dhulma nk.
 
Vyote hivyo vinafanya ukamilifu uwe mwanadamu .. Kuna vitu kama hufanyi wewe ni sawa na jiwe tu
 
Dhambi ni mtazamo tu!

Hivi mimi nimekubaliana na mdada fresh sijamlaghai wala kumpa ahadi hewa, akaja geto jioni tukafurahia tofauti zetu asubuhi tukapiga supu akarudi kwake. Yeye kaenjoy mimi nimeenjoy afu mtu anasema tulichofanya ni dhambi
 
Back
Top Bottom