Dhambi 5 zisizoepukika hata kwa washika dini

Dhambi 5 zisizoepukika hata kwa washika dini

Dhambi ni mtazamo tu!

Hivi mimi nimekubaliana na mdada fresh sijamlaghai wala kumpa ahadi hewa, akaja geto jioni tukafurahia tofauti zetu asubuhi tukapiga supu akarudi kwake. Yeye kaenjoy mimi nimeenjoy afu mtu anasema tulichofanya ni dhambi
Wewe ni muasherati
 
tukisema hatuna dhambi twajidanganya na wala kweli haimo ndani yetu"
Yohan 1:8

" Hakuna mwenye mwili hata mmoja ahesabiwaye haki mbele zake Mungu kwa matendo ya sheria "
Rumi 3:10

hapo kwenye moja na mbili kipengele sana bila divine intervention hatoboi mtu hapo
 
Mkaenjoy kama kuenjoy
 
Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.

1. Uongo

2. Uzinzi/uasherati

3. Dhuluma

4. Ubinafsi/Uchoyo

5. Chuki

Aisee hata Kama sijashika dini hizo dhambi hazijanifanya mtu bado
 
Hakuna mkamilifu ila Mungu.

Dhambi mbaya,kubwa na isiyosameheka kwa Mungu endapo mtu atakufa nayo ni USHIRIKINA (kuabudu miungu mingine pamoja na Mungu au badala ya Mungu) ila dhambi nyingine zote Mungu anaweza kuzisamehe.

Waislam wanaamini kuwa hakuna muislam atakae kaa Motoni milele.
 
Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.

1. Uongo

2. Uzinzi/uasherati

3. Dhuluma

4. Ubinafsi/Uchoyo

5. Chuki
Wizi
Uuaji
 
Hamma ata moja inayomsumbua mkisto wa kweli.
Mimi binafsi ni shahidi
Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.

1. Uongo

2. Uzinzi/uasherati

3. Dhuluma

4. Ubinafsi/Uchoyo

5. Chuki
 
Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.

1. Uongo

2. Uzinzi/uasherati

3. Dhuluma

4. Ubinafsi/Uchoyo

5. Chuki
Ndio mana nasema washika dini wote wanafiki na washenzi tu,hofu ya kifo ndio inawafanya waendelee kusali tofauti na hapo hakuna dini ni upuuzi
 
Hapo unakuta baada ya yy kufika kwake ukampa pole mkapeana feedback wapi mlifanya Powa na wapi mlizingua na next time mboreshe wapi gafla anatokea Yoda anasema nyie ni waasherati
🤣🤣umekabia juu sana
Yoda umefikiwa huku
 
tukisema hatuna dhambi twajidanganya na wala kweli haimo ndani yetu"
Yohan 1:8

" Hakuna mwenye mwili hata mmoja ahesabiwaye haki mbele zake Mungu kwa matendo ya sheria "
Rumi 3:10

hapo kwenye moja na mbili kipengele sana bila divine intervention hatoboi mtu hapo
Ongezea hii.Mhubiri 7:20

Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, atendaye mema pasipo kutenda dhambi.
 
Back
Top Bottom