Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

IBILISI (SHETANI) NI KATIKA MALAIKA?

Iblisi si katika Malaika, bali ni miongoni mwa Majinni kutokana na dalili zifuatazo:

Allaah Anasema:

"Basi wakamsujudia isipokuwa Iblisi; yeye alikuwa miongoni mwa majini."
Al Kahf -50

Na Akasema:

"Hawamuasi Allaah kwa amri zake; na wanatenda wanavyoamrishwa (yote)."
AtTahrym - 6

Kutokana na aya hii, tunapata ushahidi mwingine kuwa; Malaika hawamuasi Allaah. Kwa hivyo Ibilisi angelikuwa Malaika, asingemuasi Mola wake bali angetenda kama alivyoamrishwa. Lakini yeye alitenda kinyume na hivo. Alimuasi Allaah pale alipokataa kumsujudia baba yetu Aadam ('Alayhis Salaam), akasema:

"Akasema (Ibilisi)‘; 'Mimi ni bora kuliko yeye (Mimi) umeniumba kwa moto naye umemuumba kwa udongo."
Al Aaraf - 12

Na hapa pia tunapata ushahidi mwingi pia kuwa Iblisi si miongoni mwa Malaika, kwani Malaika wameumbwa kwa Nuru na Mashaytwaan wameumbwa kwa moto.

Katika aya iliyotangulia Iblisi alisema:

'Mimi ni bora kuliko yeye (Mimi) umeniumba kwa moto."

Angelikuwa yeye ni miongoni mwa Malaika angelisema;

“Mimi ni bora kuliko yeye umeniumba kwa Nuru".

Kwa sababu Malaika wameumbwa kwa Nuru kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) katika hadithi iliyotangulia:

"Malaika wameumbwa kwa nuru na Majini kwa ndimi za moto na Adam (ameumbwa) kwa mliyokwisha elezewa (Udongo)."

Muslim na Ahmad bin Hanbal
 
Kaka ww tiririka tu kila cku wala usimwazie huyo ukakwazika,mm binafsi nisipo ona Mada zako jf sisuhuziki ,pengine Huyo umemgusa .Ukweli unaumiza
 
Shetani ukifatilia vizuri unakuta alikua kerubi and malaika mkuu alie kua anointed ... Ukifatilia vizuri somo la malaika kwa undani, unakuta malaika alie kua anointed ni yeye peke yake, kwasababu alikua ana offisi mbili moja mbinguni na moja duniani
Hilo neno kerubi linamaanisha nini mkuu?
 
Ushoga upo tena kwa watu wenye elimu zao acha kudanganya umma kama wewe hujawahi kuwa hivo
 
Dah Mwenyezi Mungu atuepushe..maana nasikia ukila ndogo huwezi kuacha..Tatizo siku hizi Dada zetu nao wanatupitisha milango siyo! Ukija kutahamaki ushachezea tope..kumbe ibilisi kazini..

Najua hapa lazima uguse maslahi ya watu..lakini umefanya vizuri kukumbusha Mkuu..hata kesho mbele za Mungu( kwa tunaoamini yupo) utakua umetimiza maandiko..
 
Well
 
Thanks a lot I can see the clear picture here... [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kwa hiyo wewe unapakua au unapakuliwa, au A and B? Weka wazi maana umesifia tu
 
mshana jr hili "tundu" linalochungulia mlango wa kuzimu umeliongelea kwa namna kanakwamba ni heri usiwe nalo!! maana hata kwa kutolea takamwili bado linakuwa na uhusiano uliofungamana kimazingira na kuzimu!!! Sijui kama nimekuewa vizuri!!! au nime Over zoom picture uliyoichora.
(asitokee mtu akakosea kunielewa)
 
kuna watu wameumbwa na asili ya chuki tuu

Yaani hata jema wanaponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…