Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Wataalam wengi wanaoelezea sababu mbambali zitakazosabaisha mwisho wa dunia (extinction ya 6) wanatoa sababu kuu 5! Mojawapo ni Binadamu anazidi kuwa mjinga (dumper)! Zamani tulitambua normal na abnormal lakini leo abnormal ni normal na watu wanashangilia! MWISHO WA DUNIA U-KARIBU!
Halafu hizi tabia kawaambukiza mpaka wanyama
tapatalk_jpeg_1492843735134.jpg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Uta Uta hebu angalia vizuri umemjibu nani
Oh I'm sorry brother, teknologia kidogo imeleta changamoto. Nilimkusudia yule alisema raha. Samahani sana kwa kukusababishia usumbufu. Na ubarikiwe kwa busara zako, maana angekuwa mwingine angeanza kutoa matusi bila ya kufikiri kwa kina
 
huwezi kulikwepa hili ni lazima liwepo Lakini lisibadilishwe/lisiongezewe matumizi
Shimo la kuzimu linakwepeka vijijini!!
Wanaenda vichakani.
Ila tundu la kuzimu ni muambata wa shetani hasa location imekaa kiintelijensia ya satan himself.
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Ngoja wazibua vyoo waje utaona watakavyokupinga
 
Shimo la kuzimu linakwepeka vijijini!!
Wanaenda vichakani.
Ila tundu la kuzimu ni muambata wa shetani hasa location imekaa kiintelijensia ya satan himself.
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] matumizi yasiyo rasmi
 
Ahsante kwa Angalizo zuri lenye kutukumbusha Waja wa Muumba kujiepusha na lana za ulimwengu huu. (UMETIMIZA WAJIBU WAKO)

Kwa nia ya Kujifunza zaidi naomba nifahamishwe Je dhambi ina mafungu?

Kuna dhambi ndogo na kubwa? Au Watenda dhambi wote bila kujali aina ya dhambi zao siku ya kiama watateketezwa katika moto mmoja jehanam milele yote?
 
Asante sana dhambi zote ni sawa kwa imani ya Mungu mmoja na hukumu ni moja ila kwa waabudu miungu zinatofautiana uzito na adhabu
 
Wataalam wengi wanaoelezea sababu mbambali zitakazosabaisha mwisho wa dunia (extinction ya 6) wanatoa sababu kuu 5! Mojawapo ni Binadamu anazidi kuwa mjinga (dumper)! Zamani tulitambua normal na abnormal lakini leo abnormal ni normal na watu wanashangilia! MWISHO WA DUNIA U-KARIBU!
tapatalk_1494436427148.jpeg
 
Aisee na bado unaendelea kuzifuatilia kwa karibu na kuchangia kama hivi...... Ungepita kimya ingekupunguzia maumivu mengi
Mtu anapofikia hatua hii yako ni wa kumhurumia tu maana hujashikiwa kisu wala kulazimishwa kusoma... Usije jipa stress za bure... Ukiona new post by mshana jr pita mbali
BTW nakupongeza kwa kutoa dukuduku[emoji120] [emoji120] [emoji120]
cha ajabu hakufahamu alafu anaumia tu na mada zako! ama kweli stress za maisha mbaya.. well done mshana jr endelea kutupa elimu dunia.
 
cha ajabu hakufahamu alafu anaumia tu na mada zako! ama kweli stress za maisha mbaya.. well done mshana jr endelea kutupa elimu dunia.
charty watu wa kaliba hii wako wengi tu mbona.... Cha muhimu si kubishana nao... Aidha kuwaelewesha ama kuwakalia kimya
 
Back
Top Bottom