Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

yaani ukwel mm nimetahiriwa halaf nichukue Dudus yangu niingize tundu ya mavi? si bora nikaiwek chooni kabisa kwenye shimo kweny mav mengi
 
yaani ukwel mm nimetahiriwa halaf nichukue Dudus yangu niingize tundu ya mavi? si bora nikaiwek chooni kabisa kwenye shimo kweny mav mengi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781]
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie mshana huwa unakwenda vichakani [emoji855][emoji855][emoji855]
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie mshana huwa unakwenda vichakani [emoji855][emoji855][emoji855]
[emoji15] [emoji781] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lutu aligeuka kukumbuka raha na starehe za Sodoma....ama kweli hasira ya Mungu iliwaka juu yao hata Abram aliomba sana juu yao ilishindikana.....ole wake mtu huyo aise
Naomba kuelekezwa namna ya kupata story nzima ya sodoma na gomola maana nasikiaga tu hayo maneno ila sijawahi kusoma hiyo habar.
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kama hoja ni " kuchungulia" huko unakoita jehanamu,maumbile mengine huchungulia wapi?
Uchafu unaozungumzia kuwa una heshimika hadi unatengenezewa sehemu maalum ya kuhifadhi, vipi uchafu wa puani ambao unatembea nao bila wasi wasi (kutoa harufu,kinyaa,usumbufu?)

Acha wafu wazikane! Binadamu huwezi mbadilisha kwa maneno kama haya! Fundisho la maangamizo ya sodoma/gomora halijafua dafu.sembuse maneno matupu??!!!
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hivi tumeelewana kweli! Ama imekuwaje hapa
 
ila mshana mbona kama umelenga kwa mashoga zaidi.??
jinsia ke pia inajihusisha na haya ila wakichutama matundu yao yote yanachungulia kule!
mbona huliongelei la mbele
 
ila mshana mbona kama umelenga kwa mashoga zaidi.??
jinsia ke pia inajihusisha na haya ila wakichutama matundu yao yote yanachungulia kule!
mbona huliongelei la mbele
Kuna tofauti kubwa kati ya la mbele na nyuma na kimsingi la mbele halijachungulia chini

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom