Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Neno linasema :mwenue akili huona Atari akarudi nyuma bali mpumbavu uendelea mbele.
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
I see wisdom in this. You spoke like an old wiser man, a habit u shud nurture
 
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.

Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects

jiwe gizani
 
[emoji3] [emoji3]

Unawaharibia wenzio michezo yao watakosa wa kuwazibulia vyoo vyao mana ushawatoa tongotongo wazibuaji lakini walau umetimiza ulilopaswa kusema hii ni nzuri sana ibaki anaefanya haka kamchezo basi ameamua mwenyewe kumpindua shetani sasa akifukuzwa kwenye mbigu ya wazibuaji sijui ataenda wapi mars au neptune
 
1. Regretion - Ni hatua ambayo unamuona mtu, anakua na tabia mbovu mbovu ( tabia ambazo hakua nazo mwanzo ), mfano alikua muaminifu kwenye ndoa, but ghafla anakua mpigaji hatari.

2. Repression - Ananza kua mtu wa kulalamika lamika ( mfano, alikua anasifu uzuri na umuhimu wa uaminifu katika ndoa ), anaanza kusema negative issue juu ya ndoa

3. Supression - Unakuta hataki tena kuzungumzia uaminifu kwenye ndoa, hata kusikia

4. Depression anakosa tumaini katika maisha yake

5. Opression hapa kwenye hii hatua demons wanaanza kumuendesha anakua hana nguvu tena juu ya maamuzi yake

6. Obsession Hii hatua kama alikua na demon mmoja, sasa wanaanza unda ngome kwa huyo, kwa kua na demons za kutosha, kama leviathan akikaa sehemu anakua soround na majeshi ambayo yanakua chini yake

7. Possession Hapa huyu mtu ndio anapoteamo kabisa, demons wanakua wana manifest live na sometimes mtu mwenyewe ansjishuhudia anaucha mwili anakua totoal spiritual but demonic ...

Kuanzia hatua ya tano hadi saba hua ni ngumu sana hata kumsiaidia huyo mtu, but 4 hadi moja anaweza kusaidikiaka ki urahisi ...

Nimeeleza juu, niko mbio mbio
Aisee nimejifunza kitu, kama najiona nilivyokuwa natumbukia kwenye ulevi wa pombe na kuwa mkaidi, mkorofi na malaya juu, nadhani nilikua nimefika hapo namba 4 kama sio tano. Ehhe Mungu nisaidie nisirudi tena huko.
 
Dhambi kwa jina la "MAENDELEO YA DEMOKRASIA"😀😀😀
 
Back
Top Bottom